Auawa na kundi la watu kwa kuchoma Quran

Wewe husikii huyo alikuwa ni kichaa sasa mtu gani mwenye akili zake anayeweza kufanya kitendo kama hicho. Watu inatakiwa watumie akili badala ya kutanguliza tu jazba.
 
"Mungu alimuumba binadamu kwa sura na mfano wake."

Asili ya upendo,utu na msamaha ni huo mstari wa hapo juu.

Soma usomavyo vitabu vya Mungu kama huja uelewa huo mstari basi nina uhakika hata hivyo ulivyo soma huvi elewi.
 
Yani dini ni upumbavu sana
 
Siyo mihemko ila wajinga wakubwa, dalili ya kitu feki ni kulindwa kwa nguvu zote.
Mi nilijua ukichona kurana unageuka chizi au mnyama anayetisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Heading ilitakiwa isome chizi auliwa na jamii kwa bahati mbaya ya kutojua kuwa alifanya uchizi
 
Usihukumu ili usije ukahukumiwa. 2Kwa maana jinsi unavyowahukumu wengine, ndivyo utakavyohukumiwa, na kwa kipimo kile upimiacho, ndicho utakachopimiwa.
3 β€œMbona unatazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na wala huoni boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe? 4Au unawezaje kumwambia ndugu yako, β€˜Acha nitoe kibanzi kwenye jicho lako,’ wakati kuna boriti kwenye jicho lako mwenyewe? 5Ewe mnafiki, ondoa boriti ndani ya jicho lako kwanza, ndipo utaweza kuona dhahiri jinsi ya kuondoa kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako.


Sisi wakristo tumesimamia apo

Ila hawa ndugu zetu wanajifanya miungu watu
 
Wewe husikii huyo alikuwa ni kichaa sasa mtu gani mwenye akili zake anayeweza kufanya kitendo kama hicho. Watu inatakiwa watumie akili badala ya kutanguliza tu jazba.
Cha kushangaza hapo kipi?
Ni kawaida kwa wasio waislamu kuwaudhi, kuwachokoza waislamu kwa kudhalilisha kitabu chao au Mtume wao.
Jambo hilo la kipuuzi huwezi kulikuta kwa waislamu.

Hao Polisi walimpima muda gani hadi wajue alikuwa na matatizo ya akili? Au wametumia hicho kama kichaka?
 
Safi sana


Miongoni mwa wakristo hawajafurahia kuuawa kwake 😁
 
Na ndio waliojazana Zenji na Mombasa.

Makanisani vipi mzehe? Yule padri alielawiti unamzungumziaje?

Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi limemkamata mwalimu wa mafundisho ya dini katika Kanisa la Katoliki Mpanda Mjini, Joseph John (27) akituhumiwa kuwalawiti watoto wanne.,,,na hili unalizungumziaje?? Siyo haya tu kuna machafu mengi tuu wanayafanya viongozi wenu wa dini
 
Dah, watu wanathamini kitabu kushinda hata Mungu mwenyewe aliyewaumba, hata subira tu kwamba labda huyo mtu alikuwa na matatizo ya akili hamna.!

Mbona unateseka sana,,,jaribu na wewe uone kitakachokukuta. Ha2wezi kuona Qur'an tukufu ikifanyiwa ivyo tukae kimya, hiyo co biblia bwana, ni Qur'an tukufu.
 
Police wamesema alikuwa na matatizo ya akiki kwa miaka 15 sasa nawewe unahemkwa kama hao wauaji bila kutumia akili.

Aibu sana.

Hivi ninyi mtaacha lini kusema alikuwa na matatizo ya akili?) Huko ulaya mkristo akiuwa waisilamu mnaleta visababu oh alikuwa na matatizo ya akili,, akichoma Qur'an oh alikuwa na matatizo ya akili, akikojolea na kuikanyaga oh alikuwa na matatizo ya akili,,,nyie wa2 mkoje lakini!!!!!😁😁😁
 
Dini nyingine zipo kimchongo tu, yaani peponi kuna mito ya pombe na wanawake bikra 72 kwa kila mwanaume. Hili litakuwa ni danguro la aina yake.
 
Kuna kesi za mashehe wamelawiti vitoto vidogo zaidi ya 20, nayo ungeiongeza kwenye orodha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…