Peponi ni mwendo wa miguno ya kimahaba tu..nasikia hao bikra 70 nao wanakuja na vijakazi 80...halafu wanawake wanao enda peponi wao kazi yao nini?au na wao kila mmoja atapewa vidume 70..sipati picha pepo itakua kama brothel kwa miguno na kupigana miti na harufu.
Anyway dini ni ulevi kama madawa ya kulenya tu.
#MaendeleoHayanaChama