Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Katika hali isiyo ya kawaida jioni hii, kijana mmoja jinsia mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25 hadi 30 amekutwa amefariki huku mwili ukiwa umetupwa katika ofisi ya mtendaji Mbagala Kuu jijini Dar es Salaam na kuzua sintofahamu kwa wananchi wa eneo hilo. https://t.co/2UMsTJynNR