Auawa na mwili wake kutupwa kwenye ofisi ya mtendaji Mbagala kuu.

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Katika hali isiyo ya kawaida jioni hii, kijana mmoja jinsia mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25 hadi 30 amekutwa amefariki huku mwili ukiwa umetupwa katika ofisi ya mtendaji Mbagala Kuu jijini Dar es Salaam na kuzua sintofahamu kwa wananchi wa eneo hilo. https://t.co/2UMsTJynNR
 
Dah! Hasira zinaelekezwa ofisi za serikali. Hii refrection yake ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…