"Auaye kwa upanga atakufa kwa upanga " mathayo 26:52

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
1,530
Reaction score
1,903
Leo naingia bila salamu! " What goes around comes around"
Mungu amekasilika sana Juu ya mambo yanayoendelea Tanzania.
Wanasiasa mnalingiza taifa kwenye laana, hiyo mipango yenu mibaya juu" kiti cha enzi" Mungu haupendi kabisa na amechukia sana.
Madaraka yana mwisho wake, mbona fedha nyingi mnazo , mmeficha fedha karibuni kila bank kuu za dunia hii, lakini BAdo hamjalizika, mnamwaga damu za watu kisa madaraka,na fedha.

Uovu na mauwaji mnayopanga juu ya" big fishes" na watu wasio na hatia ni kuwatesa wananchi na kulingiza taifa kwenye laana kubwa sana. Ivi nyie " machichidodo" mtauwana mpaka lini? Kisa kiti! Kisa fedha.
Ninawaamuru kwa jina la Yesu alie hai hacheni mipango yenu hiyo mara moja.
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
 
Itakuwa ni jambo kubwa sana endapo litatendeka. Mungu wasaidie wale wote wanaopanga mipango hii.
Mungu ibariki Tanzania
 
Reactions: G4N
Uovu na mauwaji mnayopanga juu ya" big fishes" na watu wasio na hatia ni kuwatesa wananchi na kulingiza taifa kwenye laana kubwa sana. Ivi nyie "
Kwamba kuna mtu wanapanga kumtanguliza?!
 
Ukivamiwa jitetee.

Ukitumiwa watu wasiojulikana, hoji.

Ukiwekewa sumu kwenye chakula,bahati mbaya.

Ukimwagiwa conc. Sulfuric acid, bahati mbaya.

Hii ndiyo Africa yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…