Salah mane
Member
- Jan 28, 2018
- 15
- 13
[HASHTAG]#BREAKING[/HASHTAG]
Mshambuliaji Pierre Emerick Aubameyang amewasili katika uwanja wa mazoezi wa klabu ya Arsenal London Colney kukamilisha uhamisho wake kutoka klabu ya Borrussia Dortmund
Arsenal wamekubalina na Dortmund ada ya uhamisho ya Pauni milioni 60 kwa mshambuliaji huyo mwenye miaka 28
Mshambuliaji huyo kuwasili katika uwanja huo kunatoa uhakika wa uhamisho huo kufanyika kabla ya dirisha la usajili kufungwa kesho