Aubameyang Awasili Arsenal

Aubameyang Awasili Arsenal

Salah mane

Member
Joined
Jan 28, 2018
Posts
15
Reaction score
13
[HASHTAG]#BREAKING[/HASHTAG]
Mshambuliaji Pierre Emerick Aubameyang amewasili katika uwanja wa mazoezi wa klabu ya Arsenal London Colney kukamilisha uhamisho wake kutoka klabu ya Borrussia Dortmund

Arsenal wamekubalina na Dortmund ada ya uhamisho ya Pauni milioni 60 kwa mshambuliaji huyo mwenye miaka 28

Mshambuliaji huyo kuwasili katika uwanja huo kunatoa uhakika wa uhamisho huo kufanyika kabla ya dirisha la usajili kufungwa kesho


ea70d5de88266cf55adb27a1f3b8c4ee.jpg
 
Sishangilii mpaka nihakikishe anapewa jezi
 
ulioleta huu uzi acha habari za uchochezi utawauwa mashabiki wa man utd kwa presha
Sasa Man U inaingiaje kwenye matatizo yenu? Nafasi ya 4 yenyewe kuipata ni issue.

Pambaneni na matatizo yenu, msitafute kujishikiza kwetu. Nyie sio wapinzani wetu tena.

Post hii waione SWANSEA😀
 
Back
Top Bottom