Salah mane
Member
- Jan 28, 2018
- 15
- 13
ulioleta huu uzi acha habari za uchochezi utawauwa mashabiki wa man utd kwa preshaChanzo cha habari?
Mleta uzi anataka Shaffih Dauda na waandishi wake uchwara wafe kwa presha. Hahhahahahahhahahahahulioleta huu uzi acha habari za uchochezi utawauwa mashabiki wa man utd kwa presha
Chanzo cha habari?
Nikiwamo mimi.Kidogo Wenger atapunguza hasira za mashabiki wa Arsenal...
Sky sports wamethibitisha brooChanzo cha habari?
huyo bora asisaini tu..timu ya kijinga sana ileaje kwenye timu ya kula vipigo maana tumetoka kuchukua kipigo mda simrefu
Sasa Man U inaingiaje kwenye matatizo yenu? Nafasi ya 4 yenyewe kuipata ni issue.ulioleta huu uzi acha habari za uchochezi utawauwa mashabiki wa man utd kwa presha