Mkuu timu inahitaji overhaul ila huwezi kutimua timu nzima. Kumuacha chama wakati unataka kujenga timu ni ujinga mwingine.Simba badala ya kusajili wachezaji vijana wenye kiu ya mafanikio inabaki kubembeleza wazee waendeĺee kubakia msimbazi wakati wamebweteka.
Ipo hapo juu.Duh huyo comment iko wapi
Mkuu hao unakuta ni Mashabiki wa upande wa pili. Lengo nikumchonganisha chama na Mashabiki wa simba. Na kwa hilo Yanga wametuzidi . Huwezi kumwacha chama kabla hujapata mbadala wake.Mkuu timu inahitaji overhaul ila huwezi kutimua timu nzima. Kumuacha chama wakati unataka kujenga timu ni ujinga mwingine.
Oyaaaa[emoji16] umeshtukia chezoMkuu hao unakuta ni Mashabiki wa upande wa pili. Lengo nikumchonganisha chama na Mashabiki wa simba. Na kwa hilo Yanga wametuzidi . Huwezi kumwacha chama kabla hujapata mbadala wake.
Mbona msimu huu alikuwepo ubingwa tukakosa na kuwa kwenye nafasi ya tatu!? Aende zake huko uto. Hakuna kumbembelezaSimba bila chama hatutoboi
Hongera mtani kwa kumkwapua chama konokono kama mlivyokuwa mkimuita. Labda sasa atakuwa na spidiHayawi hayawi, hatimaye yamekuwa.
Yanga inaenda kuwa kituo cha kulelea wazee . Chama kaona isiwe tabu kaamua kuwafata wazee wenzake hakina Sureboy , Aucho na gede huko utopoloni.PR wa Chama wapo vizuri sana. Hiyo comment ya Aucho kuhusu Chama ni mchongo maalumu kwa ajili ya kuwapush viongozi wa Simba mfanye maamuzi kwa shinikizo mumpe Chama mkataba wa miaka mitatu na milioni 500 wakati hana thamani hiyo..
Mimi niko nimekaa palee
Kina Mangungu na Salim walimleta Saidoo awe mbadala wa Chama na kumpa mkataba wa kimangungu. Matokeo yake timu ndiyo ikapoteana kabisa.Simba badala ya kusajili wachezaji vijana wenye kiu ya mafanikio inabaki kubembeleza wazee waendeĺee kubakia msimbazi wakati wamebweteka.