Aucho katumwa na Chama. Simba jichanganyeni tena

Aucho katumwa na Chama. Simba jichanganyeni tena

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
PR wa Chama wapo vizuri sana. Hiyo comment ya Aucho kuhusu Chama ni mchongo maalumu kwa ajili ya kuwapush viongozi wa Simba mfanye maamuzi kwa shinikizo mumpe Chama mkataba wa miaka mitatu na milioni 500 wakati hana thamani hiyo..

Mimi niko nimekaa palee
 
Simba badala ya kusajili wachezaji vijana wenye kiu ya mafanikio inabaki kubembeleza wazee waendeĺee kubakia msimbazi wakati wamebweteka.
 
Chama ni mzuri sanaa ila tayari kashaizoea ligi na anazjua fika akili za mshabiki na viongozi hvoo hataweza kufanya lolote Lile hata akibaki kwa misimu mingapi, ni wakati wa kuachana nae ikiwemo Inonga, Africa ni kubwa kiasi kama una scout mzuri Simba inaimarika tena ikiwa na wachezaji piruuu.
 
Simba badala ya kusajili wachezaji vijana wenye kiu ya mafanikio inabaki kubembeleza wazee waendeĺee kubakia msimbazi wakati wamebweteka.
Mkuu timu inahitaji overhaul ila huwezi kutimua timu nzima. Kumuacha chama wakati unataka kujenga timu ni ujinga mwingine.
 
Mkuu timu inahitaji overhaul ila huwezi kutimua timu nzima. Kumuacha chama wakati unataka kujenga timu ni ujinga mwingine.
Mkuu hao unakuta ni Mashabiki wa upande wa pili. Lengo nikumchonganisha chama na Mashabiki wa simba. Na kwa hilo Yanga wametuzidi . Huwezi kumwacha chama kabla hujapata mbadala wake.
 
PR wa Chama wapo vizuri sana. Hiyo comment ya Aucho kuhusu Chama ni mchongo maalumu kwa ajili ya kuwapush viongozi wa Simba mfanye maamuzi kwa shinikizo mumpe Chama mkataba wa miaka mitatu na milioni 500 wakati hana thamani hiyo..

Mimi niko nimekaa palee
Yanga inaenda kuwa kituo cha kulelea wazee . Chama kaona isiwe tabu kaamua kuwafata wazee wenzake hakina Sureboy , Aucho na gede huko utopoloni.
 
Simba badala ya kusajili wachezaji vijana wenye kiu ya mafanikio inabaki kubembeleza wazee waendeĺee kubakia msimbazi wakati wamebweteka.
Kina Mangungu na Salim walimleta Saidoo awe mbadala wa Chama na kumpa mkataba wa kimangungu. Matokeo yake timu ndiyo ikapoteana kabisa.

Unapoacha mchezaji tegemezi hadi mkataba wake unaisha bado mko naye mezani ni dalili hauna viongozi wa mpira, huko kozi za FIFA wanaendaga kujifunza nini?
 
Back
Top Bottom