Numbisa, mambo..Ila simba mna tamaa sana kila walichonacho Yanga mnakitamani.
Numbisa, mambo..
Si mliona mnaikomoa Simba?Yanga tatizo ni uongozi tu. Sijui lini tutapata viongozi imara sio hawa wa kusajili hadi msemaji aliyetutusi na kutudhalilisha kila kukicha
Hata kama hamuitaji, lakini kwa uelewa wako wewe wa hiki kiwango chetu kidogo cha soka la bongo Aucho anaweza akakosa namba Simba?Kocha anamuhitaji Aucho?
Si mliona mnaikomoa Simba?
Kumchukua Hajikiaje mkuu?
Mlitaka asipate kibaru kokote kule? Si mlimfukuza yule?Kumchukua Haji
Uliwahi kuuliza swali mwanzoni mwa msimu kwamba Kati ya Wachezaji wa Yanga Nani anaweza kupata namba Simba, Leo umebadilika tena?Hata kama hamuitaji, lakini kwa uelewa wako wewe wa hiki kiwango chetu kidogo cha soka la bongo Aucho anaweza akakosa namba Simba?
Tatizo hana kauli, subirini siku aanze kuwatibuaMlitaka asipate kibaru kokote kule? Si mlimfukuza yule?
Kumchukua Haji
Hakufukuzwa, aliacha mwenyeweaah huyo si mlimfukuza mkuu
Hakufukuzwa, aliacha mwenyewe
Hakufukuzwa, lakini ni snitch kweli kwani we unamuonaje?kumbe lakini hapa JF mlisema mlimfukuza na mara alikua snitch
nyinyi si mnamtaka chama mchukueni๐๐๐๐Ila simba mna tamaa sana kila walichonacho Yanga mnakitamani.
Andaeni tiketi za kwenda CAS kulalamika.Uliwahi kuuliza swali mwanzoni mwa msimu kwamba Kati ya Wachezaji wa Yanga Nani anaweza kupata namba Simba, Leo umebadilika tena?
Wana upepo huo chama atacheza na nani pale jangwani pakavu vilenyinyi si mnamtaka chama mchukueni๐๐๐๐
nyinyi si mnamtaka chama mchukueni๐๐๐๐
Hakufukuzwa, lakini ni snitch kweli kwani we unamuonaje?
Kwa hiyo unakubali manara yuko pale yanga kwasababu ya kusaka tonge, hana mapenzi na club?Mie namuona msakatonge. hivyo hafai kuwekwa kwenye ulinganisho wa aucho