Aucho kutua Simba dirisha dogo

Aucho kutua Simba dirisha dogo

Hata kama hamuitaji, lakini kwa uelewa wako wewe wa hiki kiwango chetu kidogo cha soka la bongo Aucho anaweza akakosa namba Simba?
Uliwahi kuuliza swali mwanzoni mwa msimu kwamba Kati ya Wachezaji wa Yanga Nani anaweza kupata namba Simba, Leo umebadilika tena?
 
Back
Top Bottom