Aucho kutua Simba dirisha dogo

Makolo ndili muchi babaa[emoji23][emoji23]
 
Kwa hakika Simba ni mbumbumbu.Mchezaji kuhama timu ni jambo la kawaida ,ni sawa na mume kumkaza mkewe,hakuna utakayemwambia habari akashangaa.
 
Mnajitekenya na kucheka wenyewe, mnayo pesa gani nyie ya kuvunja mkataba wa Aucho? Kama mnavizia wachezaji waliomaliza mikataba ndo mnasajili iwe kuvunja mkataba wa mchezaji Kama Aucho, Mnalishana ujinga eti alisaini miezi 6, hivi mnayo akili sawasawa nyie? Mchezaji Kama aucho aliekuwa anawindwa na vilabu vikubwa tukapambana kumpata kwa mbinde alafu tungempa mkataba mfupi si ingekuwa kichekesho cha mwaka!! Sasa si mnasema mkataba wake unaisha january anakwenda simba ngoja tuwasubili mumchukue Kama mnayo jeuri ya kuuvunja mkataba wake, mda mwingine mnakuwa na propaganda za kitoto Sana ambazo mwenye akili robo ndo atakubaliana nazo, na labda nikwambie tu simba kwa sasa hana ubavu wa kuchukua mchezaji wa yanga otherwise tuwe atuna mpango nae!
 
Mpe mkono mshindane.
 
Angalia sukari itashuka.
 
Jamaa nadhani na ye yewe yanaujua huu ukweli kua haiwezekani lkn yameamua kuja na hii propaganda ili kuzima suala la udhamini wa GSM na kupiga counter attack suala la chama.

Kama wanagaka kumnyakua kibabe subiri wakutane na rungu tuwafilisi. Shenzi wahed makolo.
 
Hii timu ikiona mchezaji mzuri wa yanga wanamtamani. Kwa nn wasitamani wachezaji wa timu zingine kama Esperance, Kaizer Chiefs, Al Ahly, Mazembe n.k wao ni yanga tu. Yana roho mbaya yanataka Yanga ife ili yatawale soka la Tz
hawa jamaa Kila kukicha aucho,nikama watu wa bifu flan hivi,
 
Hii timu ikiona mchezaji mzuri wa yanga wanamtamani. Kwa nn wasitamani wachezaji wa timu zingine kama Esperance, Kaizer Chiefs, Al Ahly, Mazembe n.k wao ni yanga tu. Yana roho mbaya yanataka Yanga ife ili yatawale soka la Tz
Pindi Morrison yupo yanga,walimponda sana,mchezaji gani huyu,anakimbia kimbia tu,ghafla wakamchota,nikashangaa wanaanza,huyu mchezaji ni noma,hakamatiki,na shangwe kibao,Simba walikuwa na ndoto za kuipoteza yanga ili watawale wao soka hapa tz kitu ambacho hakiwezekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…