Mnajitekenya na kucheka wenyewe, mnayo pesa gani nyie ya kuvunja mkataba wa Aucho? Kama mnavizia wachezaji waliomaliza mikataba ndo mnasajili iwe kuvunja mkataba wa mchezaji Kama Aucho, Mnalishana ujinga eti alisaini miezi 6, hivi mnayo akili sawasawa nyie? Mchezaji Kama aucho aliekuwa anawindwa na vilabu vikubwa tukapambana kumpata kwa mbinde alafu tungempa mkataba mfupi si ingekuwa kichekesho cha mwaka!! Sasa si mnasema mkataba wake unaisha january anakwenda simba ngoja tuwasubili mumchukue Kama mnayo jeuri ya kuuvunja mkataba wake, mda mwingine mnakuwa na propaganda za kitoto Sana ambazo mwenye akili robo ndo atakubaliana nazo, na labda nikwambie tu simba kwa sasa hana ubavu wa kuchukua mchezaji wa yanga otherwise tuwe atuna mpango nae!