Aucho kutua Simba dirisha dogo

Aucho kutua Simba dirisha dogo

Labda aucho wa buza,kolo eleweni bin kleb karudi Yanga,yeye na GSM kuna kitu kizito anawapiga dirisha dogo
 
Huyu akawakabe magiant
Zamaleki na Mamelody?
Labda kama leo sio kufika nusu fainal klabu bingwa.
Anaweza vizuri anachohitaji ni kupewa proper coaching tu na kucheza katika mfumo sahihi.

Duchu aliweza kuwakaba Al Hilal na TP Mazembe last season with efficiency kwanini Israh ashindwe.
 
Back
Top Bottom