Aucho: Natamani kucheza na Chama Yanga Sc

Aucho: Natamani kucheza na Chama Yanga Sc

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
"Nafikiri ndiye mchezaji pekee ambaye hayupo yanga, natamani kucheza nae sababu napenda watu wanafanya mchezo kuwa rahisi.

Kama akija sawa na asipokuja pia sawa. Namfahamu nilianza kumtazama Chama tangu nikiwa misri."

Aucho aliongea hayo akijibu swali la mwandishi juu ya tetesi za chama kusaini mkataba wa mwaka 1 kuwatumikia Wananchi wa Jangwani (Yanga sc)
20240526_101423.jpg
 
Kama anatamani kucheza na Chama kwanini asiombe kuhamia Simba , halafu mwandishi aliyemuuliza swali kaikosea heshima Simba kwani Aucho hausiki na usajili Ila viongozi wa Simba walivyo mabwege wesikiabtetesi ndio maana wamemwambia Mgunda asimpange wakati Simba inahitaji nafasi ya kucheza klabu bingwa.
 
Moja ya mashabiki wachache wa simba ambao wako vizuri upstairs.
 
Siyo Aucho tu , kila mchezaji wa Yanga anatamani kucheza na Chama.
Siyo wachezaji tu , hata Mashabiki , wanachama na viongozi wao wote wanatamani kucheza na Chama. Na ndiyo Maana kila mwaka Chama anasajiliwa Yanga ila anacheza Simba.
 
Mpeni mshahara anaoutaka - 50,000 kwa mwezi - Usajili 500m
 
Back
Top Bottom