Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Au siyo, mtaalam wa mambo ya mitego, wabongo bhana, mtu kahojiwa kaelezea anachotamani mbongo keshaona ni mtegoKuna watu wanategwa hapo waingie king, yale yale ya kuteka mtu airport
Aucho awatege watu gani?Kuna watu wanategwa hapo waingie king, yale yale ya kuteka mtu airport
Pale Yanga Chama ana cheza number ya nani kama sio mtego huo?Au siyo, mtaalam wa mambo ya mitego, wabongo bhana, mtu kahojiwa kaelezea anachotamani mbongo keshaona ni mtego
Umeandika kwa dharau sana mkuu. AiseeeeAu siyo, mtaalam wa mambo ya mitego, wabongo bhana, mtu kahojiwa kaelezea anachotamani mbongo keshaona ni mtego
Moja ya mashabiki wachache wa simba ambao wako vizuri upstairs.Kama anatamani kucheza na Chama kwanini asiombe kuhamia Simba , halafu mwandishi aliyemuuliza swali kaikosea heshima Simba kwani Aucho hausiki na usajili Ila viongozi wa Simba walivyo mabwege wesikiabtetesi ndio maana wamemwambia Mgunda asimpange wakati Simba inahitaji nafasi ya kucheza klabu bingwa.
Naona unabishana na mchezaji. Kama umekerwa, mpigie simu umwambie amewadhalilisha wachezaji wenzake waliopo utopoloPale Yanga Chama ana cheza number ya nani kama sio mtego huo?