mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnavyohangaika utafikiri huyo Aucho ni Mess labda! Tufanye basi Aucho, Bangala, Fei Toto, Djuma, Kibwana, Job, Jesus, Mwanyeto wanajiunga ....... na Simba kwenye dirisha dogo! Mnapenda sana porojo!
😁😁Mnavyohangaika utafikiri huyo Aucho ni Mess labda! Tufanye basi Aucho, Bangala, Fei Toto, Djuma, Kibwana, Job, Jesus, Mwanyeto wanajiunga ....... na Simba kwenye dirisha dogo! Mnapenda sana porojo!
Huo wino ulikuwa kwenye kikopo..?Aucho ashamwaga wino msimbazi
Eee kwa wakili msomi BMHuo wino ulikuwa kwenye kikopo..?
Kuna watu mnaiaibusha sana Simba. Hivi kwenye vikao hamuwezi kukanyana kuhusu huu ujinga mnaofanya mitandaoni?