Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Crown za zamani kidogo, zina body ( sijui ndio mnaita mabati ), ni magumu kishenzi, unaeza pigwa na anaekupiga ndio anaumia. Labda crown hizi latest ndio zina body nyepesi, na hii ni kwa magari mengi ya kisasa, sio yamekuwa body utopoloNi kweli
ndio maana zinauzwa bei ghali kuliko Audi huko kwenye soko la mitumba.