Audi R8 sikuelewaga kwanini walizipiga chini, hii jioni wakati nipo napita pita zangu nimekuta madogo flani wa kihindi Audi R6 vijana wa kihindi wanapenda misumaliAudi leo wamezindua hybrid supercar, ikiwa inspired na “magari” ya Formula 1, wakaiita Nuvolari, na hii imekuja kumreplace Audi R8.
View attachment 3601323
Hii ni supercar ya kwanza hybrid kutoka Audi, inakuja na top speed ya 350 km/h, acceleration kutoka 0-100 kwa sekunde 2.6 na 0-200 kwa 6.8 seconds.
View attachment 3601325
Kwakua ni hybrid, ina engine ya 4.0L twin-turbo V8, gear 8 dual clutch transmission na ina motor tatu, AWD, pamoja na battery dogo la 7.3 kWh, kwa pamoja vinatoa 987 hp.
View attachment 3601326
Kama una mashaka na jina, ni kama heshima kwa Tazia Nuvolari, moja wa racing driver mkubwa sana.
View attachment 3601327
Design ya gari imekua inspired sana na Formula 1, na ukichukulia huu msimu Audi ndio kaingia F1.
View attachment 3601328
Vitu walivyocopy ni kama DRS (drag reduction system utaiactivate mwenyewe kwenye steering), downforce (inaweza kutengeneza zaidi ya 400 kg of downforce), aerodynamics, brakes etc.
View attachment 3601329
Kama una wasiwasi na ulaji wa mafuta, ikiwa full charge inaenda 10 km/L ila battery ikiisha kabisa inaenda 7 km/L.
View attachment 3601330
Tukutane kwenye website ya Audi kuweka order chap, tukiwa na angalau $500,000/=
Yaani bilioni moja na milioni mia tatu!Audi leo wamezindua hybrid supercar, ikiwa inspired na “magari” ya Formula 1, wakaiita Nuvolari, na hii imekuja kumreplace Audi R8.
View attachment 3601323
Hii ni supercar ya kwanza hybrid kutoka Audi, inakuja na top speed ya 350 km/h, acceleration kutoka 0-100 kwa sekunde 2.6 na 0-200 kwa 6.8 seconds.
View attachment 3601325
Kwakua ni hybrid, ina engine ya 4.0L twin-turbo V8, gear 8 dual clutch transmission na ina motor tatu, AWD, pamoja na battery dogo la 7.3 kWh, kwa pamoja vinatoa 987 hp.
View attachment 3601326
Kama una mashaka na jina, ni kama heshima kwa Tazia Nuvolari, moja wa racing driver mkubwa sana.
View attachment 3601327
Design ya gari imekua inspired sana na Formula 1, na ukichukulia huu msimu Audi ndio kaingia F1.
View attachment 3601328
Vitu walivyocopy ni kama DRS (drag reduction system utaiactivate mwenyewe kwenye steering), downforce (inaweza kutengeneza zaidi ya 400 kg of downforce), aerodynamics, brakes etc.
View attachment 3601329
Kama una wasiwasi na ulaji wa mafuta, ikiwa full charge inaenda 10 km/L ila battery ikiisha kabisa inaenda 7 km/L.
View attachment 3601330
Tukutane kwenye website ya Audi kuweka order chap, tukiwa na angalau $500,000/=
Nadhani R8 walidiscontinue sababu kuu mauzo, ila pia kutama kushift EV. R8 ilikua gari bwana, V10 5.2L hatari.Audi R8 sikuelewaga kwanini walizipiga chini, hii jioni wakati nipo napita pita zangu nimekuta madogo flani wa kihindi Audi R6 vijana wa kihindi wanapenda misumali
Hivi kuna audi r6 mkuu? Au ni ile rs 6?Audi R8 sikuelewaga kwanini walizipiga chini, hii jioni wakati nipo napita pita zangu nimekuta madogo flani wa kihindi Audi R6 vijana wa kihindi wanapenda misumali
Mie ya 500? 😂Nitaweka oda ya 499 ikifika
ni RS6 mkuu ambayo ina 621 horsepower na 850 Nm 🔥Hivi kuna audi r6 mkuu? Au ni ile rs 6?
Toka huko, gari hata dereva bodaboda haiogopi 😂🤣Daah mazee yaani unataka unitoe kwenye ist ya mwaka 2004 new model kirahisi rahisi tu bwashee..
Hili ukaendeshee libya, mafuta liter moja kama tsh 100 hivi, ukiwa na elfu 10000 umejaza tankNadhani R8 walidiscontinue sababu kuu mauzo, ila pia kutama kushift EV. R8 ilikua gari bwana, V10 5.2L hatari.