Audi leo wamezindua hybrid supercar, ikiwa inspired na “magari” ya Formula 1, wakaiita Nuvolari, na hii imekuja kumreplace Audi R8.
View attachment 3601323
Hii ni supercar ya kwanza hybrid kutoka Audi, inakuja na top speed ya 350 km/h, acceleration kutoka 0-100 kwa sekunde 2.6 na 0-200 kwa 6.8 seconds.
View attachment 3601325
Kwakua ni hybrid, ina engine ya 4.0L twin-turbo V8, gear 8 dual clutch transmission na ina motor tatu, AWD, pamoja na battery dogo la 7.3 kWh, kwa pamoja vinatoa 987 hp.
View attachment 3601326
Kama una mashaka na jina, ni kama heshima kwa Tazia Nuvolari, moja wa racing driver mkubwa sana.
View attachment 3601327
Design ya gari imekua inspired sana na Formula 1, na ukichukulia huu msimu Audi ndio kaingia F1.
View attachment 3601328
Vitu walivyocopy ni kama DRS (drag reduction system utaiactivate mwenyewe kwenye steering), downforce (inaweza kutengeneza zaidi ya 400 kg of downforce), aerodynamics, brakes etc.
View attachment 3601329
Kama una wasiwasi na ulaji wa mafuta, ikiwa full charge inaenda 10 km/L ila battery ikiisha kabisa inaenda 7 km/L.
View attachment 3601330
Tukutane kwenye website ya Audi kuweka order chap, tukiwa na angalau $500,000/=