Audi Q3 vs Audi Q6

Audi Q3 vs Audi Q6

Mkuu kwema?

Hapo unamaanisha kweli Q6 au unamaanisha A6? Maana Q6 ndio kwanza kwa mara ya kwanza imezinduliwa mwaka jana (2022) kwahiyo kama ni mtu wa kununua used sidhani kama itakua rahisi na itakua bei ndogo.
Chuma hii hapa:

Audi_Q6_001.jpg

Kama ulikua unamaanisha A6 hii hapa.
2018_Audi_A6_Sport_40_TDi_S-A_2.0.jpg

Na Q3 hii hapa:
1280px-2014_Audi_RS_Q3_TFSi_Quattro_S-A_2.5.jpg

Sasa sijajua kwenye Q6 vs A6 hapo.

Ila hayo magari yapo segment tofauti sana.

Kama unapenda Sedan za Audi mi naona A4 inatosha kabisa. Ni compact sedan tamu sana, ila kama kawaida formula ya Germany car usiwe bahili kwenye maintenance.

Kama unataka SUV Q3 ni poa ila ndogo kuna Q5 ipo katikati ya Q3 na Q7 iyo yenyewe ni kubwa kubwa.

Watakuja wafia Germany National Anthem na Bavaria ila kama wallet sio Pana sana (ya running cost) bora uende Osaka.
 
Mkuu kwema?

Hapo unamaanisha kweli Q6 au unamaanisha A6? Maana Q6 ndio kwanza kwa mara ya kwanza imezinduliwa mwaka jana (2022) kwahiyo kama ni mtu wa kununua used sidhani kama itakua rahisi na itakua bei ndogo.
Chuma hii hapa:

View attachment 2581194

Kama ulikua unamaanisha A6 hii hapa.
View attachment 2581195

Na Q3 hii hapa:
View attachment 2581196

Sasa sijajua kwenye Q6 vs A6 hapo.

Ila hayo magari yapo segment tofauti sana.

Kama unapenda Sedan za Audi mi naona A4 inatosha kabisa. Ni compact sedan tamu sana, ila kama kawaida formula ya Germany car usiwe bahili kwenye maintenance.

Kama unataka SUV Q3 ni poa ila ndogo kuna Q5 ipo katikati ya Q3 na Q7 iyo yenyewe ni kubwa kubwa.

Watakuja wafia Germany National Anthem na Bavaria ila kama wallet sio Pana sana (ya running cost) bora uende Osaka.
Dunia kijiji.. spare ukianza hapa ndani ya siku saba umeipata.. Naona ana pesa ya Q6 😅😅😅😅.... Audi naikbali Q7 au A7 sportback. U
 
Sorry, I meant kati ya Q3 na Q5. Ningependa kuhama kutoka Japan.
kama unataka kuhamia ujerumani hakikisha hela yako unaibudget kbs kwenye gar sio swala dogo kumiliki mjerumani kuanzia fuel consumption, service, spare availability and cost, mafundi na kubwa kuliko ni kwamba gari za ujerumani zinaharibika mara kwa mara na kuzitengeneza ni gharama kubwa unaweza kuta ata mara 5 ukilinganisha na toyota. so if u are financially stable and u can handle those stress its a big yes enjoy the comfortable ride izo gar zinatofautiana size tuu others specs ina depend na your preference kama turbo au non turbo Q5 is big suitable for large family
 
Fuel consumption kubwa ya german cars? Una uhakika?
 
gari za germany ni performance car usitegemee kitumie mafuta kidgo gari inafika speed 260 utegemee inuse mafuta
kwanza ni nzito compared to japanese car hata vw polo kwa muonekano ni kidgo ila kina weight kubwa, pia unakuta ina turbo

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Gari nyingi za germans zina engine kubwa ila fuel consumption ya kawaida.

Naweza kukupa mifano mingi tu.

Uzito na performance sio sababu ya fuel consumption.

Engine configurations ndo uchawi uliopo.
 
basi we have different experience
but ata vw golf ambazo zinaonekana ni ndgo tu mfano vw golf gti, gt au tsi unakuta fuel consumption kwa mjini ni 5km/l up to 7km/l

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
basi we have different experience
but ata vw golf ambazo zinaonekana ni ndgo tu mfano vw golf gti, gt au tsi unakuta fuel consumption kwa mjini ni 5km/l up to 7km/l

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
basi we have different experience
but ata vw golf ambazo zinaonekana ni ndgo tu mfano vw golf gti, gt au tsi unakuta fuel consumption kwa mjini ni 5km/l up to 7km/l

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
punguza uongo na ujuaji,uwe unafanya review hata hapo google
 
usisikilize review za google ukifatilia google wanakwambia vitz inafika 22km/l nunua uone, mm nimeshaendesha for more than 2 yrs ndo mana nakwambia ivo
and nilishauliza wenye nayo nikajua ni mm tu wakanambia its normal sio ist izo kaka

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
usisikilize review za google ukifatilia google wanakwambia vitz inafika 22km/l nunua uone, mm nimeshaendesha for more than 2 yrs ndo mana nakwambia ivo
and nilishauliza wenye nayo nikajua ni mm tu wakanambia its normal sio ist izo kaka

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
iyo maximum kwa dar town trip ilikua maximum inafika 8km/l
IMG_20230412_081014.jpg

Back
Top Bottom