Choro nondo
Member
- May 23, 2018
- 15
- 6
Habari ndugu zangu hii GARI sichoki kuitamani nakuiwaza kichwani kila mda cc 2000 ni mini sports car pia nilivyosoma inafaa Na rural roads nilikuwa nauliza gari za engine za ivi vipi wese yake?Na spea zake zinapatikanaje ?na kwa Arusha service au dar ntakuwa nafanyia garage gan nzur?ntashukuru jamani kwa ushaur pia