Audio battle

central midfielder

Senior Member
Joined
Apr 14, 2023
Posts
146
Reaction score
215
AUDIO BATTLE.

Ngwair She got gwan vs Mb Dog Latifa. Ipi ilikuwa hatari zaidi wakati ule? Ipi ilikimbiza zaidi wakati inatoka?

Kwako ipi ilikuwa noma zaidi?

She got gwan vs Latifa.

#forgive me.
 
AUDIO BATTLE.



Ngwair She got gwan vs Mb Dog Latifa. Ipi ilikuwa hatari zaidi wakati ule? Ipi ilikimbiza zaidi wakati inatoka?



Kwako ipi ilikuwa noma zaidi?


She got gwan vs Latifa.


#forgive me.
Latifah kila mtu aliijua
 
Kura yangu inaenda kwa Latifah,

"Maneno mengi walisema juu yako, eti kuna kitu honey umenifanyia,
Mganga sio sababu ya mimi kuja kwako, ila me mwenyewe moyoni nimekuchagua"
 
Aaah Sawa kwa hiyo Latifa alikuambia anakuja akalala winga.
Dog Man from Makuburi alifukua memories mbaya kwa mwenyekiti. πŸ˜‚πŸ˜‚
hapana, Latifa basi naipenda, ila kwangu haifikii Si Ulinambia, hasa upande wa Instrumentals, kuna basslines za kinyama sana

Your browser is not able to play this audio.
 
Sitasahau mara ya Kwanza ameniruhusu
Nimbusu nitomase zake chuchu
Naona fahari Leo mpenzi uko mimi
Na naahidi milele ntakuthamini
Sitajali ameshambea na wangapi
Kua nae maishani naona bahati....

R.i.p Ngwair
 
Kibongo bongo wanawake ndio wanao amua ukubwa wa nyimbo
Yaani wanawake wakiupenda wimbo utakua mkubwa kweli kweli na utapendwa hadi na watoto
Wanawake wengi kibongo sio wapenzi sana wa hip hop ingawa wana vibe nazo kimtindo

Zote zilikua nyimbo kubwa sana lakini Latifa iliimbwa na kila mtu hadi watoto
MB Dog alikua untouchable kwenye peak yake aliteka kila sikio la mpenda muziki

Ngwea kwenye hip hop She gat gwan ilikua haina mpinzani kwasababu aliimba zaidi ya kuchana na wimbo ukaeleweka na wengi
 
Ww ipi ilikuwa kali kwako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…