Audio battle

Audio battle

She got gwan ni habari nyingine

Hiyo ngoma naikumbuka ile biti iikua unaitika balaa, kipindi hicho naangalia picha la usku kwenye mabanda umiza tulela imeisha nimeenda kula nyumbani mbali kidogo

Nafika nyumbani chakula bado na hapo kwaya zimeanza mara mapini ya bongo fleva naskia

Yule dj Raama sauti ya radi mlipuko wa simba, alikua ikiicheza sana hiyo pini ya ngwair na ile biti yake tamu ilikua inatufanya tukimbie njiani tunawai kipindi cha bongofleva

Yaani asikwambie mtu kifupi nmekumbuka mbali aisee
 
Umekosea kufananisha hizo nyimbo..

She got a gwan ni ngoma iliyokaa ki mamtoni sana..

Si ulinambia ilikuwa Local..
 
Sitasahau mara ya Kwanza ameniruhusu
Nimbusu nitomase zake chuchu
Naona fahari Leo mpenzi uko mimi
Na naahidi milele ntakuthamini
Sitajali ameshambea na wangapi
Kua nae maishani naona bahati....

R.i.p Ngwair
Kila unapopita masela unawadatisha
Babaisha wanabaki macho juu juuu!

Wakuonapo maduu wakasirika kunja ndita wanabenua midomo juu!

Najua hiyo yote ni wivu tuu!

Washakuzushia mambo mengi tuu!

Ila we ndie my babygirl!

Mmoja wa pendo!

Siwezi kuwa narap bila kuwa nawewe!

Na kosa naomba unisamehe!

Nataka kuwa na wewe milele oh oh YOU GAT GWAN!!!

R.I.P MANGWEA!!
 
Back
Top Bottom