cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
SwadaktaaaaaaKura yangu inaenda kwa Latifah,
"Maneno mengi walisema juu yako, eti kuna kitu honey umenifanyia,
Mganga sio sababu ya mimi kuja kwako, ila me mwenyewe moyoni nimekuchagua"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SwadaktaaaaaaKura yangu inaenda kwa Latifah,
"Maneno mengi walisema juu yako, eti kuna kitu honey umenifanyia,
Mganga sio sababu ya mimi kuja kwako, ila me mwenyewe moyoni nimekuchagua"
Ww ipi ilikuwa kali kwako?
Kila unapopita masela unawadatishaSitasahau mara ya Kwanza ameniruhusu
Nimbusu nitomase zake chuchu
Naona fahari Leo mpenzi uko mimi
Na naahidi milele ntakuthamini
Sitajali ameshambea na wangapi
Kua nae maishani naona bahati....
R.i.p Ngwair