Audio: Magufuli akiviagiza Vyombo vya ulinzi kumchukulia hatua aliyelipwa mabilion ya pesa kuhusu sare za polisi

Audio: Magufuli akiviagiza Vyombo vya ulinzi kumchukulia hatua aliyelipwa mabilion ya pesa kuhusu sare za polisi

Magufuli alichezea nafasi adhimu ya kutengeneza katiba yenye mifumo madhubuti, badala yake akajigeuza yeye ndio katiba na mifumo.
Ndiyo Makosa makubwa yalivyofanywa na JKN and JPM
 
GT
Nikikaa nafikiria ulegelege wa vyombo vya ulinzi na usalama awamu hii mwili huwa unakufa ngazi kabisa.

Jamani au na Wao wamejiunga na MACCM Kuiba rasilimali za nchi hii. Hapa Hayati Magufuli aliagiza Angela kizigha achukuliwe hatua lakini why siyo sasa na amerudishwa tena ooh nooo my country..

View attachment 3460497
Hahaha mbeleza haki ni wapi mbinguni au kule aliko Lisu?
 
Hakuwa haraka awamu ya pili angeweka katiba iliyonyooka
Si kweli, maana hata ilani yake ya 2020-2025 hakuweka katiba mpya. Bora ya 2015-2020 kwenye ilani katiba mpya ilikuwepo na akagoma kutekeleza. Inshort alijiona yeye ndio katiba, na ni nadra mlevi wa madaraka kukubali katiba itakayominya madaraka yake.
 
GT
Nikikaa nafikiria ulegelege wa vyombo vya ulinzi na usalama awamu hii mwili huwa unakufa ngazi kabisa.

Jamani au na Wao wamejiunga na MACCM Kuiba rasilimali za nchi hii. Hapa Hayati Magufuli aliagiza Angela kizigha achukuliwe hatua lakini why siyo sasa na amerudishwa tena ooh nooo my country..

View attachment 3460497
Meja General Nani? Sijasikia vizuri
 
Hakuwa haraka awamu ya pili angeweka katiba iliyonyooka
Magu naye alitimia Loophole ya udhaifu wa katiba kutaka kujinufaisha. Sisi tuliendelea kushauri kuhusu katiba Mpya na Mifumo imara. Yeye na kina Polepole, prof Kabudi wakasema katiba haileti Maji
 
Inaonekana hapo na yeye mambo yalikuwa yamemzidi. Maana anaongea KWA kuzungukazunguka au alikuwa hana uhakika sana na hizo taarifa. Kwenye VIWANGO vyake hapo hata jina angetaja
 
Magu naye alitimia Loophole ya udhaifu wa katiba kutaka kujinufaisha. Sisi tuliendelea kushauri kuhusu katiba Mpya na Mifumo imara. Yeye na kina Polepole, prof Kabudi wakasema katiba haileti Maji
Wapi alipojinufaisha tushirikishe
 
Ila Magufuli bhana...!

Tanzania tulishindwa kweli kumlinda?

Usalama wa Taifa nao ulifeli kumlinda?

Sijui itachukua karine ngapi tena kumpata mtu kama JPM

Nchi itakuwa na wanaume wachache sana, kwa wanavyotekwa kwa uwingi kisha kuuwawa...!
Sisi ni watu wa mitandao tu. Kupngeaaa, kuimba kwayaaa. Lakini kuthubutu zero.

Yaani unakuta kwenye ile kesi ya tundulisu, unakuta polisi wawili na virungu vyao wanawakimbiza kundi la vidume, tena wanakimbia mbio. Hadi najiuliza, huu ni upga au unyonge? Hivi ikitokea kwa mfano wana daresalaam wote wakubaliane kuandamana mkoa mzima kwa nia ya kutaka mapinduzi, hawa polisi na virungu vyao pamoja na wauaji watawapiga wangapi? Wataua wangapi? Mbona hili taifa ni nyepese sana kupngoza kiasi hichi? Dah.
 
hii nchi ngumu kila mtu mpigaji
unaweza kuta unayemuagiza
amshulikie mtu fulani naye mpigaji 😄

ova
 
Back
Top Bottom