mwangalingimungu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,301
- 733
Tuwasaidie wepi, Yanga? Ndiyo imeshapangwa hiyo hakuna jinsi. Wajue tu kwamba njia ya Jehanamu imejaa tele njia njema. Simba? Wakubali yameisha wajipange vizuri kwa msimu ujao ili wasiendekeze wala isilazimike kubebwa. Azam? Nao wajipange wasilazimishe vitu vinavyochangia kuwa gaming wenyewe, Kama ni ubeleko unakuwa una upupu (mbegu fulani za porini zinazowasha sana). Nasikia wana akademi ya maana. Hiyo ndiyo ipeleke timu kwenye 'Ndondo Cup' za kimataifa. TFF? Wajue ukitaka kuwaridhisha wote hutamridhisha hata mmoja. Wajue kwamba timu si Azam, Simba na Yanga peke yao.Kwaiyo tuwasaidieje na mechi ni jumamos