akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,737
- 1,102
aendelee kupiga kazi tu......... na lep 28th tukasapoti kazi
za mikono yake pale MOG.
MWnaume malaya kuacha umalaya ni kazi sana
Na mwanamke malaya?
Sa kama mtu kaja na zubeda yake kuishi kwangu si nimemuwowa, akinipiga narusha vikorokoro vyake nje nawowa mwingine:becky::becky:
Sa kama mtu kaja na zubeda yake kuishi kwangu si nimemuwowa, akinipiga narusha vikorokoro vyake nje nawowa mwingine:becky::becky:
Shikamoo jeurii na utazidi kupigwa!
Hakuna mtu anaependa kua nashamba kubwa halafu wakatii wa mvua unapanda vya kutosha finally Hamna mazao unayopata
Unamwambia jd au mimi huyu?