Audio: Msikilize Jide akithibitisha rasmi kuwa Amemuacha Gadner

Audio: Msikilize Jide akithibitisha rasmi kuwa Amemuacha Gadner

We never know...hayo ni maelezo ya upande mmoja.

Wanawake poleni na vichapo. Najua mko wengi na hamjawahi kufunguka.
 
We never know...hayo ni maelezo ya upande mmoja.

Wanawake poleni na vichapo. Najua mko wengi na hamjawahi kufunguka.

Exacttly ngoja tumsubilie Gadner pengine naye atafunguka zaidi
 
Sa kama mtu kaja na zubeda yake kuishi kwangu si nimemuwowa, akinipiga narusha vikorokoro vyake nje nawowa mwingine:becky::becky:

Shikamoo jeurii na utazidi kupigwa!

Hakuna mtu anaependa kua nashamba kubwa halafu wakatii wa mvua unapanda vya kutosha finally Hamna mazao unayopata
 
Back
Top Bottom