Audio: Mwijaku oyeee, hatimaye lisukule lamjibu Mwijaku, lakiri liliajiriwa simba

Ulichoandika na hiyo audio tofauti,em kuweni siriaz na hii wikiend pesa nyingi huku kwenye kubet,Manara anatembelea V8,Mwijaku nae shepu lake linampa maisha hapa mjini sisi wa ID fake tuna nini lkn?

Hilo V8 analotembelea msukule lina siri nzito!
Ukitaka kujua zaidi mwambie akuonyeshe kadi ya hilo gari!
 
Alaaa kwa hiyo Simba mmeamua kumsajili hadi Dr.Kumbuka kuongeza uzito wa mtifuano wa maneno dhidi ya ndg.yetu Buggati ?!!! 🤣🤣🤣
subiri uone hii clip yeye mwenyew akiwa simba aliombwaga na dr kumbuka wamsaidie, hata Gigy money na amber lulu watatufaa kuongeza nguvu, tunataka kumuonyesha kwamba level zake ni zipi siyo kutwa kumuongelea Mo na CEO, akabishane na kina mwijaku huko

 
Manara hapa kachemsha. Mbona anachokifanya Mwijaku ni kama anachokifanya Manara kwa Mwamedi. Kumbe Manara inamtouch kutokujibiwa na Mwamedi. Ila yeye kaonyesha ufala sana kumjibu Mwijaku. Manara hana chawa wake kwani ?Mwijaku ni chawa wa Mwamedi.
Ni muda mrefu huwa yuko hivyo kama toto vile linapenda kutania na kubully watu yeye akirudishiwa anamlilia Mungu....tunasubiri Mwijaku akichoka Dr kumbuka ataingia kuhamasisha
 
Hilo V8 analotembelea msukule lina siri nzito!
Ukitaka kujua zaidi mwambie akuonyeshe kadi ya hilo gari!
Achana na hwa wajinga kisa v 8 basi jamaa ndiyo apate free pass ya kutukana watu, kama hivyo basi wenye ma v-8 mjini hapa wapewe hiyo free pass
 
Mpira wa Tz ni mgumu sana.

Kwahiyo tulipofikia sasa hivi ni timu kuajiri watu wachambane. Nikisema sishabikii mpira wa bongo naonekana miyeyusho
 
🤣🤣

Buggati aipambanie tu Yanga yetu....kupambana na Mo Dewji ni kujipotezea nguvu zake tu za ubishani...kwani hatomuweza 🤣🤣
 
Hafai kwa vipi na nyie, sijui mmetumwa na msukule! Ukiulizwa sababu hutaji kwa nini hafai, unaenda tu na upepo wa watu kuwa hafai, wewe mwenyewe peke yako ukiulizwa kwa nini hafai huna sababu
Hakika

Mtani wetu Barbara si mjinga...ni msomi na mweledi hasa wa soka letu la bongo na hulka zetu mashabiki....

Hivi unataka umuweke mtu gani asiye na hulka za Komredi Mwijaku kupambana na Komredi wetu semaji El Buggati ?!!!! 🤣🤣🤣
 
Hata hivyo hakuna anayemlazimisha mtu kushabikia mpira, huwa mnajipeleka wenyewe
Anataka ashabikie mpira wa Ujerumani ?!! Khaa 😲🤣👊

Mpira wa bongo nje ya UWANJA unaendana na hulka zetu watanzania....hao akina Buggati Manara na Mwijaku wana wenzao wengi tu WANAOFANANA hulka na tabia huku kitaaaa....... 🤣

MPAMBANO UENDELEE TU

#DaimaMbeleNyumaMwiko
 
.
 
Hili domo linatoa uvundo hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…