OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Dk. Kumbuka yupo sub anasubiri kwanza 🤣🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona kakumbatiwa vizuri hivyo,kwani kaachana na Mzee Tozi?
na Gigy money pia ni sub namba mbili , lazima sukule likumbushwe level yake ni ipi miezi miwili watu wamekaa kimya kila likiamka ni Barbara na Mo hadi kisaikolojia likajiona liko nao level mojaDk. Kumbuka yupo sub anasubiri kwanza 🤣🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo Hadji Ni Mzee, Haa TehMhhh shida ya Manara anapanick sana hawezi shuruba za hawa vijana.
Meno ya yanga[emoji2960][emoji2960][emoji2960]Hili domo linatoa uvundo hatari.View attachment 1984470
Vita vya lopolopo vitamu sana hivi ,dr kumbuka yuko subMwanaume unaakili timamu eti unamshangilia mwijaku
Tapeli lisukule linalalamika kusemwa ,kwani hujaelewa mr utopwinyoNini hiki?
Akapewa v8?Mhhh...sasa na Morrison si ndo alivuaga na nguo kabisa ili apigwe [emoji533]
Kwahiyo kapigwa [emoji533] for free[emoji16]Akapewa v8?
Dj hakukosea kuwaita uto ni makima UneducatedKwahiyo kapigwa [emoji533] for free[emoji16]
Mhhh shida ya Manara anapanick sana hawezi shuruba za hawa vijana.
Sure. Ukikuta mume ni mshabiki anakuambukizaSiku hz wadada wanakuja vzr sana kwenye soka!