Chuchu Hans amethibitisha katk mkutano wa ccm moro kwamba amerudi ccm, leo hii taarifa inasema Juma Nature ametangaza kurudi ccm ktk kampeni, hii ikoje wadau? ina ashiria nini? vijana wasanii wameshtuka nini? mbona wanasema ukawa walikwenda kwa maslahi?
lets wat loadng....... kumbuka cybe law ohoooo
Link ya Audio hii...JUMA NATURE MBIONI KUREJEA CCM, SASA AMPIGIA KAMPENI MGOMBEA HUYU KUTOKA CHAMA HICHO | FAHARI YA KUSINI
Anasema ni mfanyabishara na anapiga kazi kokote. Hata UKAWA poa.Chuchu Hans amethibitisha katk mkutano wa ccm moro kwamba amerudi ccm, leo hii taarifa inasema Juma Nature ametangaza kurudi ccm ktk kampeni, hii ikoje wadau? ina ashiria nini? vijana wasanii wameshtuka nini? mbona wanasema ukawa walikwenda kwa maslahi?
lets wat loadng....... kumbuka cybe law ohoooo
Link ya Audio hii...JUMA NATURE MBIONI KUREJEA CCM, SASA AMPIGIA KAMPENI MGOMBEA HUYU KUTOKA CHAMA HICHO | FAHARI YA KUSINI
Njaa mbaya!.Chuchu Hans amethibitisha katk mkutano wa ccm moro kwamba amerudi ccm, leo hii taarifa inasema Juma Nature ametangaza kurudi ccm ktk kampeni, hii ikoje wadau? ina ashiria nini? vijana wasanii wameshtuka nini? mbona wanasema ukawa walikwenda kwa maslahi?
lets wat loadng....... kumbuka cybe law ohoooo
Link ya Audio hii...JUMA NATURE MBIONI KUREJEA CCM, SASA AMPIGIA KAMPENI MGOMBEA HUYU KUTOKA CHAMA HICHO | FAHARI YA KUSINI
Chuchu Hans amethibitisha katk mkutano wa ccm moro kwamba amerudi ccm, leo hii taarifa inasema Juma Nature ametangaza kurudi ccm ktk kampeni, hii ikoje wadau? ina ashiria nini? vijana wasanii wameshtuka nini? mbona wanasema ukawa walikwenda kwa maslahi?
lets wat loadng....... kumbuka cybe law ohoooo
Link ya Audio hii...JUMA NATURE MBIONI KUREJEA CCM, SASA AMPIGIA KAMPENI MGOMBEA HUYU KUTOKA CHAMA HICHO | FAHARI YA KUSINI
Chuchu hansi na Juma Nature walikuwa na nguvu gani au ushawish gani ndani ya CDM / UKAWA? Dr Mihogo kaondoka hata hatuja tikisika sembuse hao wanywa chibuku? utani sasa wa ngumi! huku ni ukombozi tu
Anasema ni mfanyabishara na anapiga kazi kokote. Hata UKAWA poa.
Cha ajabu ni kipi hapo!? Kama mmefika dau watakataa vipi wakati muziki ndio kazi yao? JK si alikuwepo hapo msanii mwenzao!?