Audio: Wasanii kuhama UKAWA kurudi CCM, nini maana yake?

njeeseka

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
1,373
Reaction score
983
Cha ajabu ni kipi hapo!? Kama mmefika dau watakataa vipi wakati muziki ndio kazi yao? JK si alikuwepo hapo msanii mwenzao!?
 
na wanakuja ccm kufuata maslahi..tunazo taarifa kuwa wamepewa donge nono warudi.lakini wasanii sio ishu kwetu..sisi kwetu ni kura za wapumbavu na malofa katika ubora wao....
Chuchu Hans amethibitisha katk mkutano wa ccm moro kwamba amerudi ccm, leo hii taarifa inasema Juma Nature ametangaza kurudi ccm ktk kampeni, hii ikoje wadau? ina ashiria nini? vijana wasanii wameshtuka nini? mbona wanasema ukawa walikwenda kwa maslahi?
lets wat loadng....... kumbuka cybe law ohoooo
Link ya Audio hii...JUMA NATURE MBIONI KUREJEA CCM, SASA AMPIGIA KAMPENI MGOMBEA HUYU KUTOKA CHAMA HICHO | FAHARI YA KUSINI
 
Walijua ukawa wanatoa pesa teh teh huku ni mwendo wa kujitolea hadi kieleweke
 
Jamani mie nafurahia sana wasanii wanaokimbilia CCM wanatuambia dhahiri kwamba kile walichoamishwa kua Lowasa anagawa pesa ni uongo.... Wamesubiriweee wapate fungu la maana hakuna.. wakati wenzao walioko kule kwa maepa na maescrow wanaburudika...wanaamua kuwafwata sasa.

Watanzania na nyie mnaliona hili????
 
Chuchu Hans amethibitisha katk mkutano wa ccm moro kwamba amerudi ccm, leo hii taarifa inasema Juma Nature ametangaza kurudi ccm ktk kampeni, hii ikoje wadau? ina ashiria nini? vijana wasanii wameshtuka nini? mbona wanasema ukawa walikwenda kwa maslahi?
lets wat loadng....... kumbuka cybe law ohoooo
Link ya Audio hii...JUMA NATURE MBIONI KUREJEA CCM, SASA AMPIGIA KAMPENI MGOMBEA HUYU KUTOKA CHAMA HICHO | FAHARI YA KUSINI
Anasema ni mfanyabishara na anapiga kazi kokote. Hata UKAWA poa.
 
Ni wazalendo na waleta ukombozi tu watakao baki UKAWA kila mnafiki na msaliti lazima ataondoka
 
Chuchu hansi na Juma Nature walikuwa na nguvu gani au ushawish gani ndani ya CDM / UKAWA? Dr Mihogo kaondoka hata hatuja tikisika sembuse hao wanywa chibuku? utani sasa wa ngumi! huku ni ukombozi tu
 
Chuchu Hans amethibitisha katk mkutano wa ccm moro kwamba amerudi ccm, leo hii taarifa inasema Juma Nature ametangaza kurudi ccm ktk kampeni, hii ikoje wadau? ina ashiria nini? vijana wasanii wameshtuka nini? mbona wanasema ukawa walikwenda kwa maslahi?
lets wat loadng....... kumbuka cybe law ohoooo
Link ya Audio hii...JUMA NATURE MBIONI KUREJEA CCM, SASA AMPIGIA KAMPENI MGOMBEA HUYU KUTOKA CHAMA HICHO | FAHARI YA KUSINI

Ukawa ni muungano wa vyama vya siasa na wala siyo muungano wa wasanii wanao tangaza ujio wa fiesta
 
Chuchu hansi na Juma Nature walikuwa na nguvu gani au ushawish gani ndani ya CDM / UKAWA? Dr Mihogo kaondoka hata hatuja tikisika sembuse hao wanywa chibuku? utani sasa wa ngumi! huku ni ukombozi tu

Asante sana jambazi kweli hao ni wanywa chibuku mbukusa
 
Leo Babu Duni alikuwa jimbo la Muheza Tanga. Hapakuwepo na msanii yeyote lakini NYOMI ilikuwa haielezeki. Hapakuwepo na FUSO wala mkokoteni. Kila mtu alikuja kwa miguu toka kona zote za jimbo hili.
 
Back
Top Bottom