Kura mabadiko kweli wapige tu. Hatujali.wote hao watapiga kura mabadiko
kama slaa ananunulika atakua nature? waende ila mabadiliko ni palepale
unauhakika hamtoi hela au wewe ndo hujazipata?wacha waende tu sisi hatutoi hela..
Kama walitaka hela basi sisi hatuna hela, sisi ni ukombozi na mabadiliko tu
ni kweli kabisa....mtu anaweza kununua chama kizima itakuwa juma nature!!!!
hili sio jukwaa la siasa mnafanya mambo ya ovyoChuchu Hans amethibitisha katk mkutano wa ccm moro kwamba amerudi ccm, leo hii taarifa inasema Juma Nature ametangaza kurudi ccm ktk kampeni, hii ikoje wadau? ina ashiria nini? vijana wasanii wameshtuka nini? mbona wanasema ukawa walikwenda kwa maslahi?
lets wat loadng....... kumbuka cybe law ohoooo
Link ya Audio hii...JUMA NATURE MBIONI KUREJEA CCM, SASA AMPIGIA KAMPENI MGOMBEA HUYU KUTOKA CHAMA HICHO | FAHARI YA KUSINI