Audio: Wasanii kuhama UKAWA kurudi CCM, nini maana yake?

Audio: Wasanii kuhama UKAWA kurudi CCM, nini maana yake?

bwana mwenye hela mchune bt unayempenda kura uhuhuuu ukawa hoyeeeee
 
Juma mwenyewe kasema yeye anafuata maslahi.
 
Kwikwikwi .Ukawa mtajinyea mwaka huu.
 
Msanii ATAPIGIA TU KURA UKAWA ila kazi atafanya CCM
 
ukawa wana concious artists tu, songa,incredible,niki mbishi,zaiid, danny msimamo, roma, kallah jeremiah n.k
 
Chezea Pesa wewe...zimemnunua Dr Mihogo...hapana mchezo kabsa
 
wacha waende tu sisi hatutoi hela..
Kama walitaka hela basi sisi hatuna hela, sisi ni ukombozi na mabadiliko tu
unauhakika hamtoi hela au wewe ndo hujazipata?
 
Ni vizuri wamegundua kosa kubwa kubwa sana walilotakakulifanya na wamelirekebisha mapema. Hapa kazi tuuuuuuuuuuuuuuu
 
Chuchu Hans amethibitisha katk mkutano wa ccm moro kwamba amerudi ccm, leo hii taarifa inasema Juma Nature ametangaza kurudi ccm ktk kampeni, hii ikoje wadau? ina ashiria nini? vijana wasanii wameshtuka nini? mbona wanasema ukawa walikwenda kwa maslahi?
lets wat loadng....... kumbuka cybe law ohoooo
Link ya Audio hii...JUMA NATURE MBIONI KUREJEA CCM, SASA AMPIGIA KAMPENI MGOMBEA HUYU KUTOKA CHAMA HICHO | FAHARI YA KUSINI
hili sio jukwaa la siasa mnafanya mambo ya ovyo
 
Back
Top Bottom