Audiomack

central midfielder

Senior Member
Joined
Apr 14, 2023
Posts
146
Reaction score
215
Wakuu kwema?? Msaada kidogo.

Nime download Album zaidi ya 7 pale Audiomack, Na ngoma kibao hasa zile za kitambo(old schools) Mana sehemu zingine sikuzipata.

Nimepakua ili hata nikiwa offline nasikiliza mziki tu.

Swali langu ni hivi, je niki log out audiomack. Ngoma zitafutika?

Au nikibadili simu nikapakua Audiomack kwa simu nyingine na niki log in kwa Email yangu nyimbo nitazikuta zote? Nitakuta kila kitu???

Au itaanza upya? Kuna yeyote anafahamu kuhusu hili??

#Forgive me.
 
Hii app kuipakua ni kwa bila malipo au mpaka ulipe ndo unaweza kuipakua!?
 
Hii app kuipakua ni kwa bila malipo au mpaka ulipe ndo unaweza kuipakua!?
Kuipakua ni bure

Kupakua baadhi ya nyimbo ni bure ila kuna baadhi ya nyimbo kuzipakua na kusikiliza offline lazima uwe umelipia premium membership
 
1. Kusikiliza nyimbo ni offline ila sio zote
2. Siku hizi wana ads nyingi sana.
3.Kuna baadhi ya album huwezi ku download nyimbo zote mpaka ulipie.
4. Ukibadili simu nyimbo zinapotea.
5.Uki logout zinapotea.
 
1. Kusikiliza nyimbo ni offline ila sio zote
2. Siku hizi wa ads nyingi sana.
3.Kuna baadhi ya album huwezi ku download nyimbo zote mpaka ulipie.
4. Ukibadili simu nyimbo zinapotea.
5.Uki logout zinapotea.
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…