central midfielder
Senior Member
- Apr 14, 2023
- 146
- 215
Wakuu kwema?? Msaada kidogo.
Nime download Album zaidi ya 7 pale Audiomack, Na ngoma kibao hasa zile za kitambo(old schools) Mana sehemu zingine sikuzipata.
Nimepakua ili hata nikiwa offline nasikiliza mziki tu.
Swali langu ni hivi, je niki log out audiomack. Ngoma zitafutika?
Au nikibadili simu nikapakua Audiomack kwa simu nyingine na niki log in kwa Email yangu nyimbo nitazikuta zote? Nitakuta kila kitu???
Au itaanza upya? Kuna yeyote anafahamu kuhusu hili??
#Forgive me.