Auditor anaangalia nini haswa.

Auditor anaangalia nini haswa.

Muteyan

Senior Member
Joined
Jul 8, 2013
Posts
131
Reaction score
40
Helo dear members. Mie ni mhasibu na ndo kwa mara yangu ya kwanza nafanyiwa auditing. Tatizo ni kwamba ofisi yetu ni mpya hafu ndo nilipoanza kazi hapo ile tu nimemaliza chuo. Sasa swali langu ni kwamba auditor akija anaangalia nini haswa?
 
Anakagua mahesabu kama yako sawa,
Kama umeiba imekula kwako

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
kikubwa anachoangalia ni kama documentation za hesabu zenu zipo kama inavyotakiwa,let say umefanya malipo fulani kwa watu fulani,yeye atataka kuthibitisha kama malipo hayo yalifanyika kweli kwa kuangalia mikululo ya watia saini au kama umenunua vitu fulani,ataangalia kama una supporting documents kama vile risiti,pia ataangalia kama misingi na sheria za kiuhasibu inazingatiwa na kufuatwa, mkuu be free usimuogope,relax tu mkuu cha muhimu weka documentation sawia
 
kwanza auditor ananza na transactions audit,performance audit(three ''E'' )kisha kama umeshafunga hesabu za mwisho (financial statements) hapa hakikisha ume comply with international standards, kazi njema.
 
Back
Top Bottom