steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,175
- 1,588
Mbezi msiganiBongo land office yenu iko wapi!?
Huo mfumo tumeacha tulipata changamoto mzigo unafika mtu anaanza kutoa sababuSawa, jeh nikisema niagizie kwa pesa yako siku mzigo ukinifikia nikulipe pesa ya kununua pamoja na usafiri nitakuwa nakosea???
Mbezi msigani karibu na kiwanda cha mabati na kariakoo uhuru plazaBongo land office yenu iko wapi!?
swali zuri sana, natamani sana iyo inchi 75, ila nikiwaza siku zinaweza kufika nafika ofisini naanza kupewa maneno matupu bila kupewa mzigo wangu sijui itakuajeSawa, jeh nikisema niagizie kwa pesa yako siku mzigo ukinifikia nikulipe pesa ya kununua pamoja na usafiri nitakuwa nakosea???
Kwa kukusaidia tu huo mfumo unaotaka upo kila duka, nenda na hela yako cash nunua mali unayoiona kwa gharama. Huyu anafanya pre order.Sawa, jeh nikisema niagizie kwa pesa yako siku mzigo ukinifikia nikulipe pesa ya kununua pamoja na usafiri nitakuwa nakosea???
Shemeji.NILIKUJA NA UZI KUHUSU KUAGIZA TV WENGI WALINIPIGIA WAKITAKA UFAFANUZI SASA SOMA VIZURI MAELEZO HAYA CHINI
SPECIAL BIG ODA TV SMART
BRAND:SAMSUNG / LG /HISENSE
π«32@160000
π«43@300000
π«50@480000
π«55@500000
π«65@540000
π«75@740000
π«85@1000000
Smart TV android TV zote
0713861567
Bei za usafiri makadilio
32@70000
43@120000
55@185000
65@240000
75@300000
85@400000
Hisense / Samsung / lg
AGIZA china
NB bei ni kuagiza kutoka china utaipata ndani ya siku 30_45
Hivi mkuu,Kwa kukusaidia tu huo mfumo unaotaka upo kila duka, nenda na hela yako cash nunua mali unayoiona kwa gharama. Huyu anafanya pre order.
Hakuna mfanyabiashara atumie hela yake kukuletea mzigo wewe na asipate faida. Ukitaka vya bei nafuu tumia hela yako umpe, hatotaka faida kubwa sababu sio hela yake. Ni kama Niffer anavyofanya.
Ukitaka uhakika bila delays na kwa gharama yake maduka yamejaa Kariakoo.
swali zuri sana, natamani sana iyo inchi 75, ila nikiwaza siku zinaweza kufika nafika ofisini naanza kupewa maneno matupu bila kupewa mzigo wangu sijui itakuaje
Mkuu nikuuzie yangu nina shida,nchi 50 LGNahitaji sana TV nchi 65
Ila huu mfumo wa kulipa kabla hujauoma mzigo kisha unasikilizia mzigo baada ya siku 40 Huwa nauogopa sana. Wabongo sijawahi kuwaamini kabisa.
nataka inch 75Mkuu nikuuzie yangu nina shida,nchi 50 LG
OK sawanataka inch 75
Mfumo wa malipo njoo dukani unalipia unapajua dukani ili mzigo ukifika unakuja kuchukua dukaniShemeji.
Mfumo wa malipo ukoje?
Bei ya usafiri imejumuisha na kodiKodi Bei gani?
Boss karibu dukani unapajua dukani unalipiaHivi mkuu,
kwenye staili hii ya manunuzi Kuna usalama kweli? Maana magroup yapo mengi sana huko Whatsapp.
Wateja wengi ukimnunulia mzigo ukifika anaanza maelezo lakin ukilipia tv inamaan mzigo ukifika lazma utamalizia hela ya usafiri wengi mzigo umefika anaanza sababuswali zuri sana, natamani sana iyo inchi 75, ila nikiwaza siku zinaweza kufika nafika ofisini naanza kupewa maneno matupu bila kupewa mzigo wangu sijui itakuaje