AUFAFANUZI KUAGIZA TV KWA BEI YA VIWANDANI

AUFAFANUZI KUAGIZA TV KWA BEI YA VIWANDANI

steve_shemej

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
1,175
Reaction score
1,588
NILIKUJA NA UZI KUHUSU KUAGIZA TV WENGI WALINIPIGIA WAKITAKA UFAFANUZI SASA SOMA VIZURI MAELEZO HAYA CHINI

SPECIAL BIG ODA TV SMART

BRAND:SAMSUNG / LG /HISENSE

💫32@160000
💫43@300000
💫50@480000
💫55@500000
💫65@540000
💫75@740000
💫85@1000000

Smart TV android TV zote
0713861567

Bei za usafiri makadilio
32@70000
43@120000
55@185000
65@240000
75@300000
85@400000

Hisense / Samsung / lg

AGIZA china

NB bei ni kuagiza kutoka china utaipata ndani ya siku 30_45
 
Attachments

  • IMG-20240706-WA0044.jpg
    IMG-20240706-WA0044.jpg
    123.3 KB · Views: 14
Sawa, jeh nikisema niagizie kwa pesa yako siku mzigo ukinifikia nikulipe pesa ya kununua pamoja na usafiri nitakuwa nakosea???
Kwa kukusaidia tu huo mfumo unaotaka upo kila duka, nenda na hela yako cash nunua mali unayoiona kwa gharama. Huyu anafanya pre order.

Hakuna mfanyabiashara atumie hela yake kukuletea mzigo wewe na asipate faida. Ukitaka vya bei nafuu tumia hela yako umpe, hatotaka faida kubwa sababu sio hela yake. Ni kama Niffer anavyofanya.

Ukitaka uhakika bila delays na kwa gharama yake maduka yamejaa Kariakoo.
 
NILIKUJA NA UZI KUHUSU KUAGIZA TV WENGI WALINIPIGIA WAKITAKA UFAFANUZI SASA SOMA VIZURI MAELEZO HAYA CHINI

SPECIAL BIG ODA TV SMART

BRAND:SAMSUNG / LG /HISENSE

💫32@160000
💫43@300000
💫50@480000
💫55@500000
💫65@540000
💫75@740000
💫85@1000000

Smart TV android TV zote
0713861567

Bei za usafiri makadilio
32@70000
43@120000
55@185000
65@240000
75@300000
85@400000

Hisense / Samsung / lg

AGIZA china

NB bei ni kuagiza kutoka china utaipata ndani ya siku 30_45
Shemeji.
Mfumo wa malipo ukoje?
 
Kwa kukusaidia tu huo mfumo unaotaka upo kila duka, nenda na hela yako cash nunua mali unayoiona kwa gharama. Huyu anafanya pre order.

Hakuna mfanyabiashara atumie hela yake kukuletea mzigo wewe na asipate faida. Ukitaka vya bei nafuu tumia hela yako umpe, hatotaka faida kubwa sababu sio hela yake. Ni kama Niffer anavyofanya.

Ukitaka uhakika bila delays na kwa gharama yake maduka yamejaa Kariakoo.
Hivi mkuu,

kwenye staili hii ya manunuzi Kuna usalama kweli? Maana magroup yapo mengi sana huko Whatsapp.
 
swali zuri sana, natamani sana iyo inchi 75, ila nikiwaza siku zinaweza kufika nafika ofisini naanza kupewa maneno matupu bila kupewa mzigo wangu sijui itakuaje
Wateja wengi ukimnunulia mzigo ukifika anaanza maelezo lakin ukilipia tv inamaan mzigo ukifika lazma utamalizia hela ya usafiri wengi mzigo umefika anaanza sababu
 
Back
Top Bottom