Heavy Metal
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 881
- 2,077
Augburg vs Dortmund 38' Augsburg wanapata kadi nyekundu, mechi ijayo Dortmund atakua nyumbani vs Mainz ambayo haina cha kupoteza maana haigombei chochote na iko salama kutoka mstari wa kushuka daraja, then Bayern Munchen atamfata FC Koln zamani Cologne.
Kwa vyovyote vile hakuna cha kumzuia Dortmund kutwaa ubingwa msimu huu..japo mpira unadunda.
Kwa vyovyote vile hakuna cha kumzuia Dortmund kutwaa ubingwa msimu huu..japo mpira unadunda.