Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,310
August Alsina kuacha kufanya muziki?
Staa wa Pop na Rnb kutoka Marekani @augustalsina Ametangaza kuwa kazi zake mpya zijazo ndio za mwisho kutoka kwake baada ya hapo ataacha kufanya muziki.
-
Ktk IG Yake aliandika, 'Kwa wote wanaonipa ushirikiano, hizi kazi mpya zitakuwa za mwisho kutoka kwa August Alsina, matumaini yangu ni kuendelea kuburudika na nyie wakati niko hapa, nitajitahidi kutengenezaa kazi bora kwaajili yenu". Kauli hii imeogopesha mashabiki wanaofatilia hali ya afya ya Alsina ambaye anaugua ugonjwa hatari wa Maini kwa muda mrefu.