- Mchungaji, sikujua kwamba kumbe kwa kiongozi kufanya maamuzi muhimu ya kisheria nyumbani kwake ni kuwa dikteta, then you got it mkuu tupo pamoja sana hapo.
Respect.
FMEs!
Nooo, you got me wrong.. Wewe ulisema kuwa Mwalimu alikuwa akifanya maamuzi muhimu nyumbani kwake kinyume na Sheria na Katiba. Hilo ni kosa.
Lakini rais kama anafuata kanuni, sheria na katiba anaweza kufanya maamuzi akiwa nyumbani kwake, maana urais hauna mipaka.
Kama yupo ****** anakata gogo nchi inashambuliwa na atoe uamuzi wa haraka kabla ya gogo kumalizika, alimradi havunji sheria au kukiuka Katiba, hilo ni ruksa.
Nilichokuuliza ni la wewe kusema utapiga marufuku Wanasiasa wa sasa na zamani kujihusisha na siasa. Ndio nikauliza, hiyo si kinyume cha Katiba na uhuru wa mtu kujiamulia au Katiba ya FMES itasema ni marufuku kwa waliowahi kuwa wanasiasa mpaka siku FMES anachukua madaraka kujihusisha na siasa?