Augustine Lyatonga Mrema: Mpiganaji!

Augustine Lyatonga Mrema: Mpiganaji!

ni kweli mwambie MKULU FMES..

UKWELI ni kuwa kuna tofauti kubwa sana kati ya elimu na busara ya uongozi....

kwanza lazima mjuwe hofu ya mrema kuwa rais ndio iliwafanya ccm waweke kipengele cha degree kwenye kazi ya urais...kalini hicho kipengele hakina maana yeyote!!!

mrema alikuwa very charismatic na tishio...alikuwa ana damu ya kupendwa ....nakumbuka enzi zile tulienda uwanja wa ndege wakati mzee mwinyi rais na mrema ni naibu waziri mkuu..unaweza hata kucheka,ukipangwa msafara kuelekea ikulu kwenye gari la wazi na rais mgeni...ukipita maeneo ya mkusanyiko ...vingunguti,buguruni ....uhuru...ilikuwa inawashangaza hata viongozi wageni kwani wananchi walikuwa hawawashangilii...lakini wakishapita ...wanasikia kelele nzito nyuma[nadhani walikuwa wakifikiri watanzania wanachukua dakika moja kufanya utambuzi kichwani na kuanza kushangilia]....kifupi baadaye ilibidi mrema awe gari lake linapangwa nyuma kidogo ya gari la rais ....ili kuondoa hisia za yeye kushangiliwa na rais kuachwa...mzeee mwinyi hakuwa na tabu hata kidogo na umaarufu wa mrema ..na alimkubali ...isitoshe aliposimamishwa kazi miaka ile walikuwa na mrema....ambaye umaarufu wa mrema ulikuwa ukimkera ni waziri mkuu cleopa msuya....kwani wananchi hawakujuwa hata kama yeye yupo...na hata aliye engneer kwa kiasi kikubwa mrema kuondolewa unaibu ni cleopa baada ya kumlalamikia mwinyi kuwa hawezi kufanya kazi naye[nadhani zilikuwa siasa za urais wa 1995].

Wakuu tukirudi kwenye elimu..dunia imeshuudia viongozi wazuri tu wenye elimu za kawaida..tukianza na hapa nyumbani ..mzee mwinyi hakuwa graduate[ana diploma ya uwalimu wa kingereza], mrema ana diploma ya uwalimu [ ana diploma ya masuala ya ujasusi na propaganda ya east europe,huwa haitajwi sana].., ,ukienda hapo kenya MOI ana diploma ya ualimu tu ..na walimuita profesa wa siasa[alimudu kuishika nchi pamoja kuliko mchumi kibaki]

nenda uingereza ...john major ...hakuwa msomi[kwenye nchi ya wasomi],marekani regan [one of favourites presidents-hakuwa msomi]..and the list is long....,tuache hapo south africa ambapo Zuma ..zaidi ya elimu ya uzoefu kazini ya kijasusi [russia] -only field training ..hana elimu ya kawaida ya darasani....

tofauti waliyonayo viongozi wenye elimu ndogo ambayo inawasaidia ni usikivu....wanawasikiliza wananchi na washauri kuliko hisia zao...na mara nyingi huwasaidia kuliko wasomi ambao hujiona wanajuwa !!

Mkuu uwezo wako wa kupambana na propaganda ni mkubwa,yote uliyoyasema ni kweli tupu!Mrema si tu kuwa ni mpiganaji,bali mpiganaji halisi,na CCM naona bado wakimfikiria hawapati usingizi,tumepata fagio jipya ila la zamani kamwe hatutalitupa maana linajua kona zote za nyuma...Long live Lyatonga mzee wa inji hii...!Na muencourage kuwa mapambano yanaendeleaa!
 
Tunatakiwa kuwa na kiongozi mwenye vision, mwenye akili, mwenye uwezo wa kuongoza , kupenda maendeleo, kutoa leadership na mwenye uwezo wa kumanage. Si lazima kila hii quality ipatikane kutokana na elimu. Unaweza kusoma kama baadhi ya viongozi wetu wa sasa lakini usiwe na hivyo, unaweza usisome lakini ukawa na uwezo mkubwa wa ku-manage.

Kiti cha urais, uwaziri, ubunge na uongozi mwingine hauhitaji kufanya kazi kwa kubahatisha au kutegemea tu ushauri wa watu. So Mrema kwa maoni yangu alikuwa very patriotic kwa kuwa aliipigania sana Tanzania, lakini hakuwa na uwezo wa kuwa rais kwa kuwa sera yake kubwa ilikuwa ni kuwiangiza magereza wezi na vigogo wa wakati ule. Hakuwa na mapendekezo yoyote ya sera ambayo ingemsaidia mtanzania.
Angefanya alilotaka kwa mwezi au miezi miwili kuwa rais kunakuhitaji ufanye kazi kwa at least miaka 5, yeye angefanya nini?
 
- Sio CCM, Mwalimu wala Mrema waliofanya anything kuwasiaidia wananchi na hayo matatizo, hilo ninakubaliana na wewe kwa 100%.

- Mkuu kwani kamati ya madini ya Zitto, ilifanya nini?

Respect.

FMEs!

Maslahi ya chama ndiyo yameharibu uwezo wa kuwatumikia wananchi,baada ya siasa za vyama kutumika kwenye kugombea uhuru kwa kuwa mobilize wananchi,siasa hizo zilitumika against people's will mara baada ya uhuru,na ndio maana Mrema alipingwa na mwalimu,na pia ndio maana hata kitihada zake ziliingia dosari kutokana na siasa hizo hizo za vyama,baada ya hatua ya kwanza ya uhuru tulishindwa kwenda hatua inayofuatia tukabaki pale pale na hata katiba ya wakoloni kuendela kutumiwa na waliojiita wakombozi,ni sawa na mtu mzima kuendelea kulilia kunyonya ziwa la mama kama mtoto mdogo.
Na kuhusiana na kamati ya Zitto;hapo ndio utakapojuwa kuwa mpiganaji halisi ni nani,nenda step by step kulifikiria jambo hilo,kama wananchi wange stick na Mrema unadhani Zitto angethubutu kufanya alichofanya?Ni wana ccm waliokuwa wakitumia mfano wa Mrema kuwaghilibu na kuwakatisha tamaa kizazi kipya cha wapinzani,na wao wakiangalia nyuma wanasema ni kweli coz mzee wa Kiraracha angetaka kujilimbikizia mali angeweza,ila alikuwa true ngangari na kama ni principle basi yeye ndo definition.
 
Tunatakiwa kuwa na kiongozi mwenye vision, mwenye akili, mwenye uwezo wa kuongoza , kupenda maendeleo, kutoa leadership na mwenye uwezo wa kumanage. Si lazima kila hii quality ipatikane kutokana na elimu. Unaweza kusoma kama baadhi ya viongozi wetu wa sasa lakini usiwe na hivyo, unaweza usisome lakini ukawa na uwezo mkubwa wa ku-manage.

Kiti cha urais, uwaziri, ubunge na uongozi mwingine hauhitaji kufanya kazi kwa kubahatisha au kutegemea tu ushauri wa watu. So Mrema kwa maoni yangu alikuwa very patriotic kwa kuwa aliipigania sana Tanzania, lakini hakuwa na uwezo wa kuwa rais kwa kuwa sera yake kubwa ilikuwa ni kuwiangiza magereza wezi na vigogo wa wakati ule. Hakuwa na mapendekezo yoyote ya sera ambayo ingemsaidia mtanzania.
Angefanya alilotaka kwa mwezi au miezi miwili kuwa rais kunakuhitaji ufanye kazi kwa at least miaka 5, yeye angefanya nini?

Vigogo na majambazi wa wakati ule ni tofauti na hawa wa sasa? Si ni wale wale? Toauti ni msamiati tu kwani wakati ule waliitwa simply vigogo na sasa ni mafisadi,majambazi ni wale wale ushahidi upo....Inawezekana sisi watanzania tunachukua muda mrefu kutambua....Kumbuka kuwa failure to understand back then is what costs us this time. Matatizo yote aliyokuwa akiyafanyia kazi na kukatishwa tamaa na watu kama nyie ndiyo yamesamiri na kukubuhu hivi sasa na hata kuwaumiza vichwa wapiganaji wengi.
Sasa wezi na vigogo wa wakati ule si ndio hawa wanaotucost wakati huu? Ebu nieleze,hao kina Mramba si ndio aliokuwa akipambana nao?Kina Mkapa? Halafu na hao majambazi unaodai wa wakati ule si ndio hao hao waliomfanya JK aigawe Dar kikanda kwenye idara ya polisi?
Mkuu tumia muda kidogo kufikiri kabla hujaposti,itasaidia sana kwani mnategemewa na wananchi. Say what you think is right bila kujali nani atafikiri nini hapa jamvini.
 
, lakini hakuwa na uwezo wa kuwa rais kwa kuwa sera yake kubwa ilikuwa ni kuwiangiza magereza wezi na vigogo wa wakati ule. Hakuwa na mapendekezo yoyote ya sera ambayo ingemsaidia mtanzania.
Angefanya alilotaka kwa mwezi au miezi miwili kuwa rais kunakuhitaji ufanye kazi kwa at least miaka 5, yeye angefanya nini?

1. Mrema hana sera , sera ni za chama
2. Aliwaza na kufanya hayo akiwa waziri wa mambo ya ndani, unajua angefanya nini kama angeshika wizara ya nishati?
3. Viongozi unaowaona wewe wana uwezo wa kuongoza miaka 5 ni akina nani, na wamefanya nini?
4.Huoni kuwa unaongea falsafa kuwaza kuwa YEYE ANGEFANYA NINI?

NI rais gani aliyeingia madarakani ambaye ulipata hakika tangu mwanzo kuwa akiingia,atafanya kitu fulani na fulani kwa miaka mitano?
 
ni kweli mwambie MKULU FMES..

UKWELI ni kuwa kuna tofauti kubwa sana kati ya elimu na busara ya uongozi....

kwanza lazima mjuwe hofu ya mrema kuwa rais ndio iliwafanya ccm waweke kipengele cha degree kwenye kazi ya urais...kalini hicho kipengele hakina maana yeyote!!!

- Mkuu PM, kama ni kweli basi Mrema angeshika urais hata akiwa nje ya CCM, huu uamuzi ulifanywa na kolimba akishirikiana na Msuya, sasa hivi kweli kuna tofauti yoyote kati ya Kolimba/Msuya na Mrema kwa their thinking capacity?

mrema alikuwa very charismatic na tishio...alikuwa ana damu ya kupendwa ....nakumbuka enzi zile tulienda uwanja wa ndege wakati mzee mwinyi rais na mrema ni naibu waziri mkuu..unaweza hata kucheka,ukipangwa msafara kuelekea ikulu kwenye gari la wazi na rais mgeni...ukipita maeneo ya mkusanyiko ...vingunguti,buguruni ....uhuru...ilikuwa inawashangaza hata viongozi wageni kwani wananchi walikuwa hawawashangilii...lakini wakishapita ...wanasikia kelele nzito nyuma[nadhani walikuwa wakifikiri watanzania wanachukua dakika moja kufanya utambuzi kichwani na kuanza kushangilia]....kifupi baadaye ilibidi mrema awe gari lake linapangwa nyuma kidogo ya gari la rais ....ili kuondoa hisia za yeye kushangiliwa na rais kuachwa...mzeee mwinyi hakuwa na tabu hata kidogo na umaarufu wa mrema ..na alimkubali ...isitoshe aliposimamishwa kazi miaka ile walikuwa na mrema....ambaye umaarufu wa mrema ulikuwa ukimkera ni waziri mkuu cleopa msuya....kwani wananchi hawakujuwa hata kama yeye yupo...na hata aliye engneer kwa kiasi kikubwa mrema kuondolewa unaibu ni cleopa baada ya kumlalamikia mwinyi kuwa hawezi kufanya kazi naye[nadhani zilikuwa siasa za urais wa 1995].

- Mkulu PM, again maneno yako hapa yote ni ya kweli, ila one thing ni hayana anything na Mrema kuwasaidia wananchi on anything, Mrema hakufukuza kazi kiongozi yoyote wa juu mwizi na fisadi kama wapiganaji walivyowaondoa Lowassa, Msabaha, na Karamagi, kumbuka the ishu ni tofauti za upiganaji wa Mrema na wa sasa,

- Kuwa na sifa in-effective kwa maisha ya wananchi wa Tanzania ni kawaida sana, tuliwahi kuambiwa kwamba tabia ya Mwenyekiti wa Chadema kufanya kampeni na helikopta inakubalika sana na wananchi maana wanajaa sana kila anapokwenda, lakini matokeo ya kura za urais yalimfanya hata yeye mwenyewe kusema wazi kwamba hajui what is wrong na wananchi wa Tanzania,

- Meaning kwamba hata hawa wananchi sio wajinga maana wanaelewa sana kwamba umaarufu wa Mrema haukuwa na anything to do na uongozi, ila ni media tu ambayo in Mrema ilipata biashara sana kwa kutangaza vioja vyake, ambavyo havikuwa na anything na uongozi bora au wenye kuwasaidia wananchi.

Wakuu tukirudi kwenye elimu..dunia imeshuudia viongozi wazuri tu wenye elimu za kawaida..tukianza na hapa nyumbani ..mzee mwinyi hakuwa graduate[ana diploma ya uwalimu wa kingereza], mrema ana diploma ya uwalimu [ ana diploma ya masuala ya ujasusi na propaganda ya east europe,huwa haitajwi sana].., ,ukienda hapo kenya MOI ana diploma ya ualimu tu ..na walimuita profesa wa siasa[alimudu kuishika nchi pamoja kuliko mchumi kibaki]

- Mkuu PM, good observations sasa labda ungechambua matokeo ya uongozi wa wote hawa ndio utakubali kwamba elimu ya juu zaidi ya Diploma ni muhimu sana kwa rais wa nchi.

nenda uingereza ...john major ...hakuwa msomi[kwenye nchi ya wasomi],marekani regan [one of favourites presidents-hakuwa msomi]..and the list is long....,tuache hapo south africa ambapo Zuma ..zaidi ya elimu ya uzoefu kazini ya kijasusi [russia] -only field training ..hana elimu ya kawaida ya darasani....

tofauti waliyonayo viongozi wenye elimu ndogo ambayo inawasaidia ni usikivu....wanawasikiliza wananchi na washauri kuliko hisia zao...na mara nyingi huwasaidia kuliko wasomi ambao hujiona wanajuwa !!

- John Major, sijawahi kumfuatilia sana siasa zake, lakini Reagan aliyesababisha wanajeshi 241 kuuliwa na Terrorist kule Lebanon kwa wakati mmoja, eti ni shujaa kwa kutokuwa na elimu kubwa, na kwamba Zuma rais anayesema, alifikiri akioga tu basi HIV haiwezi kumuingia, unasema wawe ni mfano wa kuigwa na watoto wetu kwamba kutokusoma ni sawa sana, kwa sababu unaweza ku-cover ujinga wako na busara, kwa kweli it is an incredible theory mkuu wangu.

- Bado ninaamini kwamba Wapiganaji wa sasa 11 ndani ya CCM, wana a lot to show kuliko Mrema, ambaye hana anything to show na ushujaa wake, na kwamba Mrema angekwua na elimu kubwa kuliko aliyokua nayo, angeweza kufanya makubwa sana na yenye lasting legacy kwa taifa kuliko kukamata dhahabu Airport na kuiachia kinyemela, bila kutueleza wananchi exactly what happened to it, to this day!

Otherwise, una some good points Mkuu PM.

Respect.

FMEs!
 
Inawezekana sisi watanzania tunachukua muda mrefu kutambua....Kumbuka kuwa failure to understand back then is what costs us this time. Matatizo yote aliyokuwa akiyafanyia kazi na kukatishwa tamaa na watu kama nyie ndiyo yamesamiri na kukubuhu hivi sasa na hata kuwaumiza vichwa wapiganaji wengi.
Sasa wezi na vigogo wa wakati ule si ndio hawa wanaotucost wakati huu? Ebu nieleze,hao kina Mramba si ndio aliokuwa akipambana nao?Kina Mkapa? Halafu na hao majambazi unaodai wa wakati ule si ndio hao hao waliomfanya JK aigawe Dar kikanda kwenye idara ya polisi?
Mkuu tumia muda kidogo kufikiri kabla hujaposti,itasaidia sana kwani mnategemewa na wananchi. Say what you think is right bila kujali nani atafikiri nini hapa jamvini.

Mkuu i think i am right as you may think am wrong and as i may think that you are wrong. Mrema ni mpiganaji, ni mzalendo, na mwenye uchungu na nchi, as well as my hero. My point is to be a president is much more than that. It is far more difficult job than to be a minister of home affairs or deputy prime minister for that matter. Leading a ministry as not the same as leading or ruling the country, you do not have to be emotional, unreasonable and you need to have a personality for that office. Mream lacked almost in all. I may be wrong on this, but it is why i did not vote for Mrema. I never liked Ben Mkapa, but i knew he would make a better president that Lyatonga, and voted for him. Mbunge nilimpigia wa upinzani.
 
Mkuu FM
Kati ya wanajamvi wanaonivutia kwa hoja zilizo simama wewe ni mmoja wapo.
Bilashaka kuna jamaa kaiba password yako,umekuwa chini ya viwango katika hii hoja kwa kiwango cha kutisha.

- Kwa kawaida huwa unaanza na hoja, halafu nikukubana mbavu then huwa unabadilika kama kinyonga na kuanza maneno ya low kama haya ambayo hayana anything na kuwasadia wananchi wala taifa, naona nikuachie ubaki nayo, maana I am too big for this lows.

- Ndio maana nilisema kwamba I am looking forward for the day nitajadili siasa na wewe bila nonsense za personal's speculations.

Respect.

Kamanda FMEs!
 
Tunatakiwa kuwa na kiongozi mwenye vision, mwenye akili, mwenye uwezo wa kuongoza , kupenda maendeleo, kutoa leadership na mwenye uwezo wa kumanage. Si lazima kila hii quality ipatikane kutokana na elimu. Unaweza kusoma kama baadhi ya viongozi wetu wa sasa lakini usiwe na hivyo, unaweza usisome lakini ukawa na uwezo mkubwa wa ku-manage.

Kiti cha urais, uwaziri, ubunge na uongozi mwingine hauhitaji kufanya kazi kwa kubahatisha au kutegemea tu ushauri wa watu. So Mrema kwa maoni yangu alikuwa very patriotic kwa kuwa aliipigania sana Tanzania, lakini hakuwa na uwezo wa kuwa rais kwa kuwa sera yake kubwa ilikuwa ni kuwiangiza magereza wezi na vigogo wa wakati ule. Hakuwa na mapendekezo yoyote ya sera ambayo ingemsaidia mtanzania.
Angefanya alilotaka kwa mwezi au miezi miwili kuwa rais kunakuhitaji ufanye kazi kwa at least miaka 5, yeye angefanya nini?

- Unajua Mungu anasema watu wangu wanakwisha kutokana na kutokuwa na hekima, bila kutumia hekima huwezi kuelewa madhara ya kutokwua na elimu kwa kiongozi wa juu, saafi sana Bongolander maneno mazito sana haya.

Respect.

FMEs!
 
1. Mrema hana sera , sera ni za chama
2. Aliwaza na kufanya hayo akiwa waziri wa mambo ya ndani, unajua angefanya nini kama angeshika wizara ya nishati?
3. Viongozi unaowaona wewe wana uwezo wa kuongoza miaka 5 ni akina nani, na wamefanya nini?
4.Huoni kuwa unaongea falsafa kuwaza kuwa YEYE ANGEFANYA NINI?

NI rais gani aliyeingia madarakani ambaye ulipata hakika tangu mwanzo kuwa akiingia,atafanya kitu fulani na fulani kwa miaka mitano?

So unataka kuniambia kuna sera yoyote ya kulinda ufisadi inayotekelezwa sasa na serikali, kwenye ilani ya CCM? Hii ni sera inayitekelezwa lakini haipo kwenye manifesto. Sera za chama zinatengenezwa na nani, na wanachama au zinajitengeneza zenyewe?
Kwa hiyo kiongozi anaweza kuja na policy suggestion ambayo inaweza kuja kuwa sera, au akatawala kwa decree, kama mrema alivyokuwa antoa siku saba kwa watendaji wa serikali. Angekuwa rais angekuwa mtawala wa kiimla na sio wa sheria au anayeongozwa na sera.

Kama kazi yake ilikuwa kukamata wezi angeenda wizara ya nishati angeshindwa, kwa sababu nishati hawakamati wezi, isipokuwa wanashughulikia mambo ya nishati, ku explore vyanzo vipya vya nishati, kunahitaji innovation capabities and alike.
Nilikuwa na uhakika kuwa Ben Mkapa akiingia madarakani ataweza kustabilize uchumi na kupunguza inflation, which he did. Nilidhani kuwa atapigana na rushwa i was wrong.
Kwa hiyo inawezekana kabisa kuwa you are wrong on what you think about Lyatonga.
Mfano mzuri uko kwa magufuli, amejaribu kung'ara kwenye wizara ya ujenzi, kungia ardhi imekuwa kinyume ameuzia nyumba ndugu zake, kuna uwezekana hata Lyatonga angefanya hivyo.
 
Ukiachia baba wa taifa, vongozi wengine waliojituma kutimiza wajibu wao kwa faida ya Mtanzania ni Sokoine na Mrema.

Tatizo la Watanzania huwa ni wivu na kila mwenye mafanikio kidogo tunampaka matope.

Mashujaa wangu Tanzania ni Nyerere, Sokoine na kisha Mrema, mawaziri wakuu wengine wote walikuwa wahuni tu.

- Ukishaona mafisadi wameamua kufanyia vikao vyao vya siri mkoani mwako, basi ujue wana sababu kubwa sana nayo ni they feel at home na very comfortable huko kwako kwamba kuna wananchi wengi na ni mazingara wanayofanana nayo, that is very sad truth!

- Mkuu ahsante sana kwa your Great Thinking, labda tu nikukumbushe hii mada ni about wapiganaji na Mrema, na sio mawaziri wakuu wa zamani, Bwa! ha! unaweza kufungua thread inayowahusu ukatoa kilio cha uhuni wao maana ni muda sasa unalilia sana hiyo ishu, ambayo kila ukipewa nafasi kuichambua unashindwa na kuingia mitini, bwa! ha! ha!.

Respect.

Kamanda FMEs!
 
Maslahi ya chama ndiyo yameharibu uwezo wa kuwatumikia wananchi,baada ya siasa za vyama kutumika kwenye kugombea uhuru kwa kuwa mobilize wananchi,siasa hizo zilitumika against people's will mara baada ya uhuru,na ndio maana Mrema alipingwa na mwalimu,na pia ndio maana hata kitihada zake ziliingia dosari kutokana na siasa hizo hizo za vyama,baada ya hatua ya kwanza ya uhuru tulishindwa kwenda hatua inayofuatia tukabaki pale pale na hata katiba ya wakoloni kuendela kutumiwa na waliojiita wakombozi,ni sawa na mtu mzima kuendelea kulilia kunyonya ziwa la mama kama mtoto mdogo.
Na kuhusiana na kamati ya Zitto;hapo ndio utakapojuwa kuwa mpiganaji halisi ni nani,nenda step by step kulifikiria jambo hilo,kama wananchi wange stick na Mrema unadhani Zitto angethubutu kufanya alichofanya?Ni wana ccm waliokuwa wakitumia mfano wa Mrema kuwaghilibu na kuwakatisha tamaa kizazi kipya cha wapinzani,na wao wakiangalia nyuma wanasema ni kweli coz mzee wa Kiraracha angetaka kujilimbikizia mali angeweza,ila alikuwa true ngangari na kama ni principle basi yeye ndo definition.

- Mkuu samahani sana hapa nimeshindwa kuelewa what is the point? Halafu eti unasema Mrema ni bora kuliko Zitto au?

Respect.

FMEs!
 
Mkuu i think i am right as you may think am wrong and as i may think that you are wrong. Mrema ni mpiganaji, ni mzalendo, na mwenye uchungu na nchi, as well as my hero. My point is to be a president is much more than that. It is far more difficult job than to be a minister of home affairs or deputy prime minister for that matter. Leading a ministry as not the same as leading or ruling the country, you do not have to be emotional, unreasonable and you need to have a personality for that office. Mream lacked almost in all. I may be wrong on this, but it is why i did not vote for Mrema. I never liked Ben Mkapa, but i knew he would make a better president that Lyatonga, and voted for him. Mbunge nilimpigia wa upinzani.

Acha utani mkuu,kuwa raisi wa Tanzania is much more than what?Pia ungesoma posting ya Philemon Mikael ungeweza kuona kuwa sifa ulizotaja hapo juu hazijawa proof kuwa a certain leader will accomplish anything.... Hapo nyuma kama ungenisoma vyema ungegundua pointi yangu kuwa siasa za vyama zimetuangusha...Sasa hapo kwenye red highlight ebu nieleze what do you mean?Vigezo tunavyowekeana sisi waafrika ndio vimetufanya tushindwe kujitawala,na certainly mzungu alivutiwa na udhaifu huo na ndio maana akatutawala,hatujui tunataka nini na kwanini....Vigezo alivyovitoa mwalimu vya kumchagua Mkapa ni tofauti kabisa na hivi unavyovitoa hapa..Kwamba ufanisi wake akiwa wizarani ndio kigezo cha yeye kuchaguliwa kama unavyotaka kudai si kweli,matter of fact hakuna aliyewahi kufikiri kuwa Mkapa will be a president,na sisi watanzania tulikuwa hatuna utaratibu wa kujichagulia viongozi bali someone decided for us! Pia vipi kuhusu Mwinyi? Ni ufanisi upi huo uliopelekea kuwa na sifa za urais?

Tanzani bado ni nchi changa sana na hatuwezi kuweka vigezo vya kumpata kiongozi nje ya hali halisi tuliyonayo...Kama ingekuwa ni enzi zile na wewe ukaambiwa uchague kati ya Mrema na Mr Smith basi si ajabu ungemchoose Mr Smith kwa vigezo ulivyoweka...Sisi tumezoea kuambiwa cha kufanya na kuchaguliwa viongozi na kwa hiyo uwezo wetu wa kutambua kiongozi anayetufaa ni mdogo ama inawezekana haupo kabisa kwa watanzania walio wengi..Tusiishi kwenye nchi ya kufikirika,kwamba tunaweza kutumia vigezo vya lets say USA ili kumpata kiongozi bora wa Tanzania...Yani umesoma elimu ya mzungu ya jinsi gani ya kumpata kiongozi halafu directly una imply kwamba inaweza kutumika Tanzania ama nchi nyingine ya Afrika,haya mambo huenda stage by stage,hatujafikia kutumia vigezo vya juu,bado tuko chini,tunahitaji mtu tuliye naye,mwenye kutuelewa ili kuondoka hapo tulipo,mkoloni kututawala kwa vigezo hivyo alivyokufundisha imetufikisha wapi? Kwa vigezo hivyo mtanzani atakombolewa kweli? Umesema Mrema ni mzalendo,halafu then hafai kutuongoza,urais kama taasisi,uzalendo ni hatua kubwa ya kwanza na mengine atapata msaada wa kimawazo kwani hizi si zile enzi za zidumu fikra sahihi za mtu mmoja.

Wananchi nao wanatatizo la kufuata sheria,mnajuwa kabisa kuwa sheria hazifuatwi,lakini nyie ndio wa kwanza kusema kuwa viongozi mnaowachagua ni vinara wa kufuata sheria...Kweli hiyo? Tungekuwa hapa tulipo? Eti you knew Mkapa will make a better president than Mrema,hapo umenichosha,umeshindwa kutambua tatizo kuu lililotufikisha hapa tulipo,bado hulielewi na tatizo la kusahahu mapema unalo...Yani ufisadi kushamiri na maisha ya mtanzania kuporomoka ndio kujenga uchumi kunakokufanya uwe proud kuwa ulimpigia Mkapa kura...?Tutaona mengi!
 
- Mkuu samahani sana hapa nimeshindwa kuelewa what is the point? Halafu eti unasema Mrema ni bora kuliko Zitto au?

Respect.

FMEs!

Hujaelewa nini hapo mkuu?
Siasa za vyama zilitumika kumwondoa mkoloni,na ni siasa hizo hizo zinatumika kuwamaliza wazalendo.
Hapo kwenye pointi ya Zitto pia nilimaanisha kuwa wengi wa wana ccm wamekuwa wakitumia mfano wa kumalizwa kwa Mrema kisiasa ili kuwatisha wapinzani kwamba wataishia kama Mrema,mfano ambao hata wewe umeshautumia hapa jamvini,na ndio nikasema hata hatua kama alizochukua Zitto za kukubaliana na Dowans etc zinaweza kuwa zilisababishwa na mambo kama hayo kwani akiangalia nyuma na mifano ya ccm ya kina Mrema anagundua kuwa it doesnt pay to stay ngangari kwani mwishowe utaishia masikini tu na kudharauliwa kama jinsi ambavyo wananchi walivyoaminishwa mambo mengi kuhusu Mrema,sumu ambayo bado ina impact kwa baadhi yetu tusiojifunza kutokana na makosa.
 
- Mkuu PM, kama ni kweli basi Mrema angeshika urais hata akiwa nje ya CCM, huu uamuzi ulifanywa na kolimba akishirikiana na Msuya, sasa hivi kweli kuna tofauti yoyote kati ya Kolimba/Msuya na Mrema kwa their thinking capacity?

- Mkulu PM, again maneno yako hapa yote ni ya kweli, ila one thing ni hayana anything na Mrema kuwasaidia wananchi on anything, Mrema hakufukuza kazi kiongozi yoyote wa juu mwizi na fisadi kama wapiganaji walivyowaondoa Lowassa, Msabaha, na Karamagi, kumbuka the ishu ni tofauti za upiganaji wa Mrema na wa sasa,

- Kuwa na sifa in-effective kwa maisha ya wananchi wa Tanzania ni kawaida sana, tuliwahi kuambiwa kwamba tabia ya Mwenyekiti wa Chadema kufanya kampeni na helikopta inakubalika sana na wananchi maana wanajaa sana kila anapokwenda, lakini matokeo ya kura za urais yalimfanya hata yeye mwenyewe kusema wazi kwamba hajui what is wrong na wananchi wa Tanzania,

- Meaning kwamba hata hawa wananchi sio wajinga maana wanaelewa sana kwamba umaarufu wa Mrema haukuwa na anything to do na uongozi, ila ni media tu ambayo in Mrema ilipata biashara sana kwa kutangaza vioja vyake, ambavyo havikuwa na anything na uongozi bora au wenye kuwasaidia wananchi.

- Mkuu PM, good observations sasa labda ungechambua matokeo ya uongozi wa wote hawa ndio utakubali kwamba elimu ya juu zaidi ya Diploma ni muhimu sana kwa rais wa nchi.

- John Major, sijawahi kumfuatilia sana siasa zake, lakini Reagan aliyesababisha wanajeshi 241 kuuliwa na Terrorist kule Lebanon kwa wakati mmoja, eti ni shujaa kwa kutokuwa na elimu kubwa, na kwamba Zuma rais anayesema, alifikiri akioga tu basi HIV haiwezi kumuingia, unasema wawe ni mfano wa kuigwa na watoto wetu kwamba kutokusoma ni sawa sana, kwa sababu unaweza ku-cover ujinga wako na busara, kwa kweli it is an incredible theory mkuu wangu.

- Bado ninaamini kwamba Wapiganaji wa sasa 11 ndani ya CCM, wana a lot to show kuliko Mrema, ambaye hana anything to show na ushujaa wake, na kwamba Mrema angekwua na elimu kubwa kuliko aliyokua nayo, angeweza kufanya makubwa sana na yenye lasting legacy kwa taifa kuliko kukamata dhahabu Airport na kuiachia kinyemela, bila kutueleza wananchi exactly what happened to it, to this day!

Otherwise, una some good points Mkuu PM.

Respect.

FMEs!

FMES:

Kwenye thread hii. Kishoka aliuliza mapungufu ya system yetu. Mapungufu yakatajwa kama katiba, check and balance, kushindwa kufuata sheria n.k

Jacob Zuma, John Major walikuwa au ni viongozi wasio na elimu ya chuo. Lakini katiba za nchi zao ni nzuri na zenye kujali ufuataji wa sheria na check and balance. Hivyo mapungufu yao yanakuwa checked na vyombo mbalimbali.

System ya Tanzania haifanyi kazi, na kuwa na kiongozi ambaye hana elimu ni deadly combination that the country can't afford.
 
Hujaelewa nini hapo mkuu?
Siasa za vyama zilitumika kumwondoa mkoloni,na ni siasa hizo hizo zinatumika kuwamaliza wazalendo.
Hapo kwenye pointi ya Zitto pia nilimaanisha kuwa wengi wa wana ccm wamekuwa wakitumia mfano wa kumalizwa kwa Mrema kisiasa ili kuwatisha wapinzani kwamba wataishia kama Mrema,mfano ambao hata wewe umeshautumia hapa jamvini,na ndio nikasema hata hatua kama alizochukua Zitto za kukubaliana na Dowans etc zinaweza kuwa zilisababishwa na mambo kama hayo kwani akiangalia nyuma na mifano ya ccm ya kina Mrema anagundua kuwa it doesnt pay to stay ngangari kwani mwishowe utaishia masikini tu na kudharauliwa kama jinsi ambavyo wananchi walivyoaminishwa mambo mengi kuhusu Mrema,sumu ambayo bado ina impact kwa baadhi yetu tusiojifunza kutokana na makosa.

JMushi1:

Mrema kajimaliza mwenyewe. Alipokuwa NCCR, ilikuwa vurugu tupu. Wanawake wakawa wanalalamika kuwa anawashika m@t@k0. Na kwenye mkutano mmoja, mama mmoja kudhihirisha kuwa anayosema ni kweli ilibidi avue nguo.
 
Zakumi stay kwenye hoja na uache kwenda personal kwasababu hakuna mashindano hapa,dont punch below the belt na pia acha ukigeu geu,hapo juu ume mu acuse Mrema kwa mambo hayo kuwa hafai kuwa rais lakini hapa chini ukimfagilia Zuma,Unaajua ya Zuma?acha hizo mkuu,lets stay on the point ili mjadala usiharibike....Kama ulishasema kuwa tatizo ni katiba na check and balance basi ungeendela kuinyambulisha hoja ako na si kujichanganya mwenyewe....
Jacob Zuma, John Major walikuwa au ni viongozi wasio na elimu ya chuo. Lakini katiba za nchi zao ni nzuri na zenye kujali ufuataji wa sheria na check and balance. Hivyo mapungufu yao yanakuwa checked na vyombo mbalimbali.
 
Hujaelewa nini hapo mkuu?
Siasa za vyama zilitumika kumwondoa mkoloni,na ni siasa hizo hizo zinatumika kuwamaliza wazalendo.

- Mushi kwani ni nini hasa maana ya siasa? Na nini hasa kazi ya vyama vya siasa?

Hapo kwenye pointi ya Zitto pia nilimaanisha kuwa wengi wa wana ccm wamekuwa wakitumia mfano wa kumalizwa kwa Mrema kisiasa ili kuwatisha wapinzani kwamba wataishia kama Mrema,mfano ambao hata wewe umeshautumia hapa jamvini,na ndio nikasema hata hatua kama alizochukua Zitto za kukubaliana na Dowans etc zinaweza kuwa zilisababishwa na mambo kama hayo kwani akiangalia nyuma na mifano ya ccm ya kina Mrema anagundua kuwa it doesnt pay to stay ngangari kwani mwishowe utaishia masikini tu na kudharauliwa kama jinsi ambavyo wananchi walivyoaminishwa mambo mengi kuhusu Mrema,sumu ambayo bado ina impact kwa baadhi yetu tusiojifunza kutokana na makosa

- Again bado hata hii quote, ina fall kwenye maswali yale yale kwamba what is politics na hasa kazi ya vyama vya siasa? Majibu ya haya maswali yanaweza kukupa mwanga on what is political propaganda hasa wakati wa kampeni za uchaguzi wa kisiasa, and how the political campaigns are won and lost.

- Sasa think kwamba wewe mwenye elimu kubwa bado una tatizo ku-grasp hizi meaning, sasa kwa mtu kama Mrema inakuwaje? Kwani Mrema angeshindwa nini kusoma Degree akiwa waziri, au hata baada akiwa ndani ya CCM ili kukata mzizi wa fitina? ndio tunakwambia mkuu elimu ndogo haiwezi kuwa covered na anything zaidi tu ya maamuzi finyu na empty, ambayo in the end yanaishia kutuachia ugomvi wa kujaribu ku-figure out exactly what did you accomplish as leader.

- Mkuu hebu angalia mashuja wa kweli kina Castro, Samora na Che-Guevara hivi kweli unahitaji ku-argue over and over kuhusu ushujaa wao kwa mataifa yao? Si kila walichofanya kiko wazi!

FMEs!
 
Back
Top Bottom