Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Ufisida ni janga la taifa letu na ni viongozi wachache ambao hujitoa kupinga ufisadi kwa moyo wa dhati.
Lyatonga Mrema alipinga ufisadi kwa maisha yake yote akiwa mtumishi wa umma mpaka sasa akiwa mzee.
Nakumbuka kupewa stori na wazee wa Wanaomfahamu Mrema kupambana na walanguzi na maadui wa taifa hili na kidhibiti wauza dhahabu za magendo miaka ya nyuma alipokuwa Dso Kahama.
Aliibua skendo zito la kifisadi baada ya wanaCcm kuhongwa na Chavda.
Lakini mbali ya hayo alipinga uonevu na uhalifu kiasi cha majambazi kujisalimisha kwa jeshi la polisi kama mbwa anajisalimisha kumezwa na chatu.
Sioni tofauti za hulka za kisiasa za kupinga ufisadi na uonevu alionao Lyatonga Mrema na jinsi hayati JPM aliyvyopinga ufisadi.