Tar 23/10/2022George job aliwahi kusema pale wasafi.
"Okrah ni mchezaji wa daraja la juu kidogo ya Miquissone"
Though hajatupa kile Miquissone alitupa uwanjani ila anaonekana ni mchezaji haswa. Mind you tarehe 23 utopolo lazima afe.
Very good commentKwangu sipendezwi na mgunda anavyomtumia, kumchezesha kule winga ya kushoot anamfanya asiweze kufanya baadhi ya mambo, kule hawezi kukata kuingia ndani, mguu wake unamfanya akimbie pembeni apige krosi tu, kule ni mwendo wa kupiga krosi tu. Ila angekuwa upande wa kulia anaweza kuingia ndani, kucurve, kushoot na options kibao.
Mpira wa siku hizi anayetumia mguu wa kulia anakaa kushoto na anayetumia mguu wa kushoto anakaa kulia.Kwangu sipendezwi na mgunda anavyomtumia, kumchezesha kule winga ya kushoot anamfanya asiweze kufanya baadhi ya mambo, kule hawezi kukata kuingia ndani, mguu wake unamfanya akimbie pembeni apige krosi tu, kule ni mwendo wa kupiga krosi tu. Ila angekuwa upande wa kulia anaweza kuingia ndani, kucurve, kushoot na options kibao.
Huo upuuZ tumeawachie nyie mbwa wa luc eymael sisi tunafocus na mambo makubwa mambo ya derby tumewaachia nyie mkaroge kwa vigagula vyoteTar 23/10/2022
Kwa nijuavyo mashabiki wa Simba mtaanza kutukana humu jamvini, hapo mshaloa si chini ya 3
Arudi tu kuimarisha kikosi maradufu lakini si kwakumuweka bench Okrah kwa mpira anaoupiga huyu winga mghana. Akirudi Mgunda atakuwa na option nyingi zaidiMchezaji wa timu ya taifa ya Ghana. Nasikia tetesi Luis anarudi. Sijui itakuwaje
Nakubaliana nawe mkuu, dogo katukosesha goli la pili la wazi jana, alipenetrate vizuri akashindwa kutoa pass kwa mwenzake aliyekuwa na nafasi nzuri zaidi yakushindaLuis akija sakho ndio atatakiwa kumpisha jumla.
Kwa hiyo umekubaliana na mtoa maoni au haujakubaliana na mapendekezo yake? Sio kwa ubayaMpira wa siku hizi anayetumia mguu wa kulia anakaa kushoto na anayetumia mguu wa kushoto anakaa kulia.
Angalia Messi, Salah, Saka au kipindi kile Arjen Robben, wote wanacheza kulia. Halafu Ronaldo au Henry wanakaa kushoto enzi zile wanacheza kama winga.
Pengine baada ya muda Okrah pia atazoea.
Kama kawaida yao mburula, watapigwa na yanga ,tar 23 ndio watajua Wana mzoga uliopata faida ya kucheza na viwete, bullets na agost iliyofungwa 6 na namungoTar 23/10/2022
Kwa nijuavyo mashabiki wa Simba mtaanza kutukana humu jamvini, hapo mshaloa si chini ya 3
Mkuu mimi nimeelezea fact iliyopo kwenye soka la kimataifa. Itapendeza endapo Okrah atawekwa kwenye nafasi inayomfanya aisaidie timu kwa mafanikio zaidi. Sasa hapo tunamwachia kocha.Kwa hiyo umekubaliana na mtoa maoni au haujakubaliana na mapendekezo yake? Sio kwa ubaya
Badala ya kushughulikia matatizo kwenye timu yenu mnaleta visingizio na sababu za kitoto. Mtaendelea kuishia hatua za awali maana ni wapumbavu msiotaka kujifunza kwa waliofanikiwa.Kama kawaida yao mburula, watapigwa na yanga ,tar 23 ndio watajua Wana mzoga uliopata faida ya kucheza na viwete, bullets na agost iliyofungwa 6 na namungo
Yanga imekutana na timu ngumu Al hilal ilitingwa fainali 3 za club bingwa na CAF
Tar 23 Kuna dhahma inaenda kutokea
Nimekupata,kweli jamaa kwa Uwezo alio nao nikuwa hatuja mfaidi,hatujavuna Uwezo wake,hatujaexploit potential. Ni kama ununue bus halafu ulipeleke route zisizo na wateja,hutalifaidi.Mkuu mimi nimeelezea fact iliyopo kwenye soka la kimataifa. Itapendeza endapo Okrah atawekwa kwenye nafasi inayomfanya aisaidie timu kwa mafanikio zaidi. Sasa hapo tunamwachia kocha.