NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
MTAWAKOMA Oct 23
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila ikifika derby simba mnakuaga na matokeo yenu tayari[emoji1787][emoji1787].. haya sawa... tarehe 23 si mbaliUnajua nikiwaangalia hawa wachezaji wetu wa 3 Phiri,Okra,Chama hawakupangwa ile derby najiuliza huyu mzungu alikua na nini na sisi. Nasema hivii trh 23 Yang'a mjiandalie majeneza pa kuwazikia ni hapo hapo kwa mkapa
Sasa tunaachaje mkuu ikiwa na nyie mnajiaminisha kumfunga mnyama?Kila ikifika derby simba mnakuaga na matokeo yenu tayari[emoji1787][emoji1787].. haya sawa... tarehe 23 si mbali
Chama alicheza, Okrah alicheza, ni Phiri tu ndio hakucheza.Unajua nikiwaangalia hawa wachezaji wetu wa 3 Phiri,Okra,Chama hawakupangwa ile derby najiuliza huyu mzungu alikua na nini na sisi. Nasema hivii trh 23 Yang'a mjiandalie majeneza pa kuwazikia ni hapo hapo kwa mkapa
Nilijua mtakuja kwahyo unasemaje mtani kwamba mtawafunga Simba?Chama alicheza, Okrah alicheza, ni Phiri tu ndio hakucheza.
Acheze winga ya kulia ndio atakuwa mzuri zaidi ili akiingia ndani ndio atakuwa na option ya kufanya hayoKwangu sipendezwi na mgunda anavyomtumia, kumchezesha kule winga ya kushoot anamfanya asiweze kufanya baadhi ya mambo, kule hawezi kukata kuingia ndani, mguu wake unamfanya akimbie pembeni apige krosi tu, kule ni mwendo wa kupiga krosi tu. Ila angekuwa upande wa kulia anaweza kuingia ndani, kucurve, kushoot na options kibao.
Mzungu mshenzi sana 😂😂alisema kwanza Phiri hafit kwenye mfumo yupo akakaa jukwaan,Chama yupo slow akamtoa fest half , Okrah alimchezesha namba 8😂Mpuuzi yule popote alipo gendaheka yuleUnajua nikiwaangalia hawa wachezaji wetu wa 3 Phiri,Okra,Chama hawakupangwa ile derby najiuliza huyu mzungu alikua na nini na sisi. Nasema hivii trh 23 Yang'a mjiandalie majeneza pa kuwazikia ni hapo hapo kwa mkapa
Na team ngumu zolan inamanisha yanga ni team ndogo chuchu konziKama kawaida yao mburula, watapigwa na yanga ,tar 23 ndio watajua Wana mzoga uliopata faida ya kucheza na viwete, bullets na agost iliyofungwa 6 na namungo
Yanga imekutana na timu ngumu Al hilal ilitingwa fainali 3 za club bingwa na CAF
Tar 23 Kuna dhahma inaenda kutokea
Kijana ni moto wa kuotea mbali kama Martinelli wa Arsenal.Huyu jamaa alisajiliwa kimyakimya na hata gharama za ujio wake hazikuwekwa wazi.
Ameonesha kuwa ni winga mwenye makali ya kimataifa. Ana kasi, pasi za upendo, anaona nafasi katikati ya msitu wa mabeki na ni mpambanaji.
Katika muda mfupi aliopo Simba amefanya wachezaji wengi sana waliopita hapo kusahaulika kwa haraka.
Nuru inaangaza kwa siku zijazo.
Uchambuzi wako ni wa kweli100%. Dogo ana speed kali sana lakini mipira mingi inapotea kwa sababu anatumia mguu mmoja. Na upande wa kulia hakuna mshambuliaji mwenye kasi kama yeye. Mipira mingi inapelekwa kwake na inakuwa mfu. MGUNDA AAMBIWE HILI.Kwangu sipendezwi na mgunda anavyomtumia, kumchezesha kule winga ya kushoot anamfanya asiweze kufanya baadhi ya mambo, kule hawezi kukata kuingia ndani, mguu wake unamfanya akimbie pembeni apige krosi tu, kule ni mwendo wa kupiga krosi tu. Ila angekuwa upande wa kulia anaweza kuingia ndani, kucurve, kushoot na options kibao.
Okrah ni akili kubwa, mpira wa manufaa anaujua.Katika wachezaji wote waliosajiliwa na simba ni okrah peke yake ndo kocha zoran mak alisema ni aina ya wachezaji wenye kasi na uwezo wa kushambulia hakimbii kimbii tu kama kisinda na jesus moloko wanakimbia kwenye vibendera tu hawana madhara yoyote