Augustine Okrah, winga bora zaidi katika soka la Tanzania kwa sasa

Kaka wa matabasamu mimi ni nani nipinge hilooo. Ana mbio za Duma
 
Unajua nikiwaangalia hawa wachezaji wetu wa 3 Phiri,Okra,Chama hawakupangwa ile derby najiuliza huyu mzungu alikua na nini na sisi. Nasema hivii trh 23 Yang'a mjiandalie majeneza pa kuwazikia ni hapo hapo kwa mkapa
 
Kila ikifika derby simba mnakuaga na matokeo yenu tayari[emoji1787][emoji1787].. haya sawa... tarehe 23 si mbali
 
Sasa tunaachaje mkuu ikiwa na nyie mnajiaminisha kumfunga mnyama?
 
Unajua nikiwaangalia hawa wachezaji wetu wa 3 Phiri,Okra,Chama hawakupangwa ile derby najiuliza huyu mzungu alikua na nini na sisi. Nasema hivii trh 23 Yang'a mjiandalie majeneza pa kuwazikia ni hapo hapo kwa mkapa
Chama alicheza, Okrah alicheza, ni Phiri tu ndio hakucheza.
 
Acheze winga ya kulia ndio atakuwa mzuri zaidi ili akiingia ndani ndio atakuwa na option ya kufanya hayo
 
Unajua nikiwaangalia hawa wachezaji wetu wa 3 Phiri,Okra,Chama hawakupangwa ile derby najiuliza huyu mzungu alikua na nini na sisi. Nasema hivii trh 23 Yang'a mjiandalie majeneza pa kuwazikia ni hapo hapo kwa mkapa
Mzungu mshenzi sana 😂😂alisema kwanza Phiri hafit kwenye mfumo yupo akakaa jukwaan,Chama yupo slow akamtoa fest half , Okrah alimchezesha namba 8😂Mpuuzi yule popote alipo gendaheka yule
 
Na team ngumu zolan inamanisha yanga ni team ndogo chuchu konzi
 
Kijana ni moto wa kuotea mbali kama Martinelli wa Arsenal.
 
Uchambuzi wako ni wa kweli100%. Dogo ana speed kali sana lakini mipira mingi inapotea kwa sababu anatumia mguu mmoja. Na upande wa kulia hakuna mshambuliaji mwenye kasi kama yeye. Mipira mingi inapelekwa kwake na inakuwa mfu. MGUNDA AAMBIWE HILI.
 
Katika wachezaji wote waliosajiliwa na simba ni okrah peke yake ndo kocha zoran mak alisema ni aina ya wachezaji wenye kasi na uwezo wa kushambulia hakimbii kimbii tu kama kisinda na jesus moloko wanakimbia kwenye vibendera tu hawana madhara yoyote
 
Okrah ni akili kubwa, mpira wa manufaa anaujua.
 
Tofauti yake na Kibu ni rasta tu, mchezaji wa kawaida sana
haaaa,,Kibu tatizo kwakweli ila Okrah ni chombo wewe.
Umejiandaa kumeza aina gani ya dawa ya kupunguza maumivu utakayoyapa baada y kipigo mtakacho kipata j'pili?
Simba 3-0 Uto.

Gide MK
 
Kijana leo angetoa ile pasi basi angekuwa shujaa zaidi. Hongera kwa kufunga goli kwenye derby.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…