AUGUSTINO MREMA: Siungi mkono Serikali tatu

duchi

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
1,766
Reaction score
333
Wananchi wangu wa Vunjo na wananchi wengine wanachotaka ni suluhu ya utatuzi wa matatizo yao wingi Serikali hauwasaidii kitu. Hii kudai serikali tatu haisaidii katika kutatua matatizo ya mwananchi moja kwa moja.

Alama za mnafiki tatu: (1) Anapo ahidi hatekelezi (2) Anaposema anasema uongo (3) Anapoambiwa haki anaenda mbali na haki Alisema Mhe. Mrema bila ya kufafanua
 
BAsi ujue hapo yeye na hao wananchi wake wanataka Serikali moja.
 
Nakumbuka Chiku Abwao ambaye alikuwa naye Nccr wakati huo aliwahi kusema tena bungeni kwamba A. L. Mrema siyo mpizani sasa mimi ntakataa?
 
Amechoka huyu, hivi kiinua mgongo ameshapata?
 
Mrema anatafuta pa kutokea kwani aliishapotea kitambo katika ulingo wa kisiasa. Na ni vema akatuambia katika chama chake mbona vyeo vyote ameshikiria yeye?
 
hata kabla ya kufa wagonjwa uonekana wananafuu then wanazima moja kwa moja, najua amejitokeza ili afe vizuri sasa. ila akumbuke kuacha wosia katika siasa maana amesha piga chini
 
Kumbuken ya kale ni dhahabu! Kwa hyo mpaka kufikia kuongea hvyo katafakari sana naunga mkono hoja!
 
Amechoka huyu, hivi kiinua mgongo ameshapata?

Mzee wa watu anataka kiinua mgongo kwa cheo feki ambacho hakipo kikatiba.
Sijui hao ccm watamlipa kwa njia gani ili baadae wasije kuulizwa maswali.
Hataki serikali tatu na atuambie anataka ngapi?
Wakati huu hatafanya lolote kuwaudhi ccm hadi alipwe ya naibu waziri mkuu.
Au naye anafikiri atalipwa kama waziri mkuu mstaafu? Anaota mchana pamoja na ahadi hewa ya Jakaya
 
hata kabla ya kufa wagonjwa uonekana wananafuu then wanazima moja kwa moja, najua amejitokeza ili afe vizuri sasa. ila akumbuke kuacha wosia katika siasa maana amesha piga chini
Ndiyo maagizo aliyopewa toka Lumumba ili alipwe kile kiinua mgongo cha wadhifa feki wa naibu waziri mkuu, njaa mbaya sana
 
Huyu MZEE hajitambui,hajui analoonge Bali pumba tu.mtu akizeeka anakuwa yupo duniani kimwili tu.sasa mrema tunaye mwili wake tu akili zishapote siku nyingi.watu wa vunjo tafuta mbadala wa huyu mtu.vinginevyo hamna mwakirishi bungeni.ndo maana wapinzani hawaangaiki naye.
 
viongozi wanatakiwa kuelewa muungano si wa viongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…